Msaada wa haraka

Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
784
2,063
Kuna binti m1 jirani yangu ktk rukaruka zake kapata mimba,jamaa wake kamshauri wakaitoe,yeye hataki na anakaa na bibi yake.Kaja kwangu kuomba ushauri,nimshaurije jamani?naombeni msaada wenu
 
mwambie wakayamalize na dume lake kama ambavyo walianza....akili mukichwa huyo dada amekutega ukikosea tu ukajifanya msamalia wa kwenye biblia umeliwa...
 
Walipoanza ruka ruka zao waliomba ushauri kwa nani? Mwambie vile vile walivyoanza, walivyoendelea bila kutumia kinga, waleee mimba na hatimaye mtoto hivyo hivyo.
 
Binti ana umri gani??
Bibi yake tayari anajua??
Matumizi yake anapata wapi??
Mtoto atamlea vipi??
Hayo yote ni maswali ambayo anatakiwa ayajibu ili tujue hali yake ilivyo!!
Unachotakiwa kumshauri sio tu atoe au asitoee ila namna ya kuhakikisha ataweza kumlea mtoto/mtoto wake ataweza kulelewa vizuri (msaada wa ndugu na marafiki..watu wengine wa nje).
 
Mtu anakuja kwako anataka umshauri akaue na ww umeksa jbu, na unatka 2kushauri.
 
Daima hutmia busara na hekima mungu akupe afiya njema Inshaalah naunga mkono
Binti ana umri gani??
Bibi yake tayari anajua??
Matumizi yake anapata wapi??
Mtoto atamlea vipi??
Hayo yote ni maswali ambayo anatakiwa ayajibu ili tujue hali yake ilivyo!!
Unachotakiwa kumshauri sio tu atoe au asitoee ila namna ya kuhakikisha ataweza kumlea mtoto/mtoto wake ataweza kulelewa vizuri (msaada wa ndugu na marafiki..watu wengine wa nje).
 
jiengue mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mana ukimsaidia yule jamaa yake anaweza sema kumbe ni yako na si yake mana mimba ya msela yanii kukufata ww
 
Binti ana umri gani??Bibi yake tayari anajua??Matumizi yake anapata wapi??Mtoto atamlea vipi??Hayo yote ni maswali ambayo anatakiwa ayajibu ili tujue hali yake ilivyo!!Unachotakiwa kumshauri sio tu atoe au asitoee ila namna ya kuhakikisha ataweza kumlea mtoto/mtoto wake ataweza kulelewa vizuri (msaada wa ndugu na marafiki..watu wengine wa nje).
naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom