msaada wa haraka wataalam tafadhari

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
nimehamia sehemu ambayo umeme ni mdogo(voltage) hivyo computer inashindwa kuwaka,nikiiwasha kuna taa nyekundu inawaka kisha inatoa mlio(alarm).ila vifaa vingine kama tv,radio na hata friji vinafanya kazi,ngoma ni pc tu.hivyo nashindwa kufanya shughuri,naombeni msaada.
 
apo ni RAM immekaa ndivyo cvyo co ichek alaf safisha na RAM slot sana tu....
 
Hesabu hizo beep alafu utuambie ziko ngapi, na kama inabeep mara tatu basi ni kweli tatizo hapo na ram
 
nashukuruni sana wakuu kumbe Ram ilikuwa imekaa vibaya! Sasa iko poa kabisa kweli JF,hatunyimani maujanja.thanx
 
Back
Top Bottom