msaada wa haraka sana wakuu hp yangu ndio ianakufa hivyo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,294
13,240
nina pc yangu aina ya hp toka jana ilianza ukolofi baada ya kuwa kijana wangu wa dukani eti aliifungua ili kutoa vumbi kwani ilikuwa na vumbi sana kwa kutumia brower,sasa kumbe kuna betri kama ya saa ya mvilingo [CMOS BATTERY]ndani!ikadondoka hakujua ilipotoka hadi niliporudi ndio akaniambia,bahati nzuri nilipaona sehemu ilipotoka nikairudishia,ndio mabalaa yakaanza ikaanza kuleta meseji kama,163-time&date not set,the system time is invalid.press f1 to boost,ukishabonyeza hiyo f1. kwenye monitor taa inakuwa ya kijani lakini windows hai start!Tatizo litakuwa nini wataalamu au ndio basi tena?nitashukuru sana
 
HAKIKISHA BETRI UMEIWEKA VIZURI NA SIO UMEIGEUZA.KUNA YALE MBNDISHI JUU YA BETRI HAKIKISHA YANASOMEKA hapo itaashiria haujageuza betri.UKIWASHA SOMA MAELEZO YOTE KWA MAKINI ITAKUELEKEZA UFANYE NINI.UKIONA TABU BONYEZA ESC KISHA SET SAA MAMBO YATAKUWA SAFI...
 
Badala ya F1,Bonyeza F10 uingie kwenye BIOS setup na useti time and date!
 
163-time&date not set,the system time is invalid.press f1 to boost,ukishabonyeza hiyo f1. kwenye monitor taa inakuwa ya kijani lakini windows hai start!Tatizo litakuwa nini wataalamu au ndio basi tena?nitashukuru sana

Ukibonyez f1 unatakiwa uset upya system date an time sababu betri ilivychomoka kumbukumbu ya tarehe na saa zilipotea. So unatakiwa uziingize upya kwenye hiyo BIOS then save alafu restart .
Unaweza Soma kiunganisho hiki hapa then kwa kutumia keyboard nenda kwenye sehemu ya set date and time
 
Badala ya F1,Bonyeza F10 uingie kwenye BIOS setup na useti time and date!
Nimejaribu,inaanza kuhesabu mb,hadi 512mb,inasema press f1 to save,ukishapress inasema tena press f1 to boot ambayo iko bolded,hamna option nyingine,ukishapress,ndio monitor inaonekana kuna mwanga na taa ya kijani inawaka,ila hakuna kinachoendele tena.
 
nina pc yangu aina ya hp toka jana ilianza ukolofi baada ya kuwa kijana wangu wa dukani eti aliifungua ili kutoa vumbi kwani ilikuwa na vumbi sana kwa kutumia brower,sasa kumbe kuna betri kama ya saa ya mvilingo [CMOS BATTERY]ndani!ikadondoka hakujua ilipotoka hadi niliporudi ndio akaniambia,bahati nzuri nilipaona sehemu ilipotoka nikairudishia,ndio mabalaa yakaanza ikaanza kuleta meseji kama,163-time&date not set,the system time is invalid.press f1 to boost,ukishabonyeza hiyo f1. kwenye monitor taa inakuwa ya kijani lakini windows hai start!Tatizo litakuwa nini wataalamu au ndio basi tena?nitashukuru sana
install windows , ikiendelea nijurishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom