Msaada wa haraka plz: Nimemeza mfupa wa samaki umekaa kooni....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Hallo JF Doctor,

Naombeni msaada wa kufanya, nimemeza kamfupa kadogo ka samaki, kamekaa karibu na koo, japo maumivu hakuna ila kananikera sana. Je nifanye kukatoa au kukameza kabisa?
 
Pole sana kwa kumeza mfupa wa samaki, fanya hivi pika ugali matonge 3 jaribu kumeza kila tonge pasipo na kutafuna kila tonge ukimeza la huo ugali kisha kunywa nusu glasi ya maji kisha angalia ikiwa bado haijatoka hapo kooni huo mfupa. Kama ni wewe ni mkristo nenda kwa Mchungaji ili akuombee dua la kama ni wewe ni Muislam nenda kwa Sheikh au Maalim au Mganga wa kienyeji mwambie ayasomee maji aya hi mara 3 kisha akupe uyanywe Qur'ani Sura ya 68.aya 33 SURAT AL-QALAM. Ukisha toka huo Mfupa wa Samaki mpe huyo aliyekuombea hiyo dua Sadaka ya pesa japo kidogo tu kisha uje unipe hapa Feedback only83
 
Siwezi toa ushauli tena naamini 'is too late', atakuwa ameshabadishwa jina! Kama bado unapumua, kimbia hospitalini haraka usije irritate larynx bure!!
 
Siku nyingine ikikutokea jaribu ushauli wa kumeza tonge la ugani uliopikwa kigogo (maji kiduchu afu unga mwah) bila kutafuna ili usukume hako ka mfupa kavunjika na kuenda tumboni! ikishindikana, changanya makongoro hospitalini!
Au jaribu haya hapa chini!
There are lots of cure for fish bone stuck in throat but the most effective way is to prevent the fish bone from sticking in your throat. Carefully pick the bones out of the fish before eating.[h=2]Home Cures to Get Fish Bone out Throat[/h]Having a fish bone stuck in throat can be easily treated. In fact, a lot of cure for fish bone stuck in throat can be done at home or even without clinical intervention. To get the bone out of your throat, you can try doing the following methods:

  • Swallow a hard food such as hard bread with peanut butter.
    The idea is for the fish bone to be pushed downward and attain immediate relief. The butter will make the bread slide easily down your throat.
  • Cough it out. You can try expelling the fish bone by coughing it out as hard as you can.
  • Reach for it. Another cure for fish bone stuck in throat is by facing the mirror to check if you can see the fish bone sticking in your throat. If you can see the fish bone, you can reach for it and carefully take it out from your throat.
  • Tablespoon of olive oil. Another cure for fish bone stuck in throat is by taking a tablespoonful of olive or virgin oil. Not only will the bone slide down to your stomach but the oil will also soothe the rash or minor cut caused by the fish bone.
[h=2]Fish Bone Stuck Throat Remedy[/h]If you have already applied all possible cures for fish bone stuck in throat yet you can still feel the fish bone in your throat, seek for a professional help immediately. Unattended fish bone in your throat could lead to digestive tract infection and other risky infections.

kama upo karibu na mtu mwambie ukipige ngumi nzito sana ya shingo utapona pia
 
MziziMkavu bwana! Yaani hata mfupa wa samaki unaufanyia prescrIption ya matonge ya ugali matatu, mara mganga wa kienyeji!

Ndugu, tandika tena ugali na samaki ama nyama ama mboga yoyote vitazoa huo mfupa maisha yatakuwa mwake tu!
 
Mkuu Kukwama na Mfupa ni kitu cha hatari mkuu naona umemjibu kwa kunifuata mimi hahahahahahh. Nilifikiri na wewe utatowa Formula yako Kumbe huna na kumbe unafuata mchango wangu wa mawazo asante sana.... King'asti
 
Ushauri umechelewa sana, hakupata hata nafasi ya kuusoma! Burrrrrr.......!
 
Ushauri umechelewa sana, hakupata hata nafasi ya kuusoma! Burrrrrr.......!

Kweli unasikitisha kwa komenti yako ya kwanza. Si unyamaze kama huna cha kusema?
Umelazimishwa kuchangia hujui utu?

Pia unajibadili baadae kwa kutoa ushauri kopi kopi,

Na pia acha ku copy and paste bila kuweka ulikotoa, wizi huo wa mambo ya wengine unataka jipa credit.
 
kama hujaelewa uliza ueleweshwe, mbona unalalama sana! Inaonekana week-end imekuendea kombo sana wewe na uataka kumalizia machungu kwangu eeh!!!!!
Hujui ukisemacho ww!
 
Credit uje itafutia JF, utakuwa umesha'lost'! ungekuwa makini ungeona 'link' ya hayo yote niliyamwaga hapo kwa kupitisha kipanya, kwa faida ya yeyote anaependa kusoma na kuelewa ili siku ikimfika ajue la kufanya.
 
kama hujaelewa uliza ueleweshwe, mbona unalalama sana! Inaonekana week-end imekuendea kombo sana wewe na uataka kumalizia machungu kwangu eeh!!!!!
Hujui ukisemacho ww!

maeno yako yanasikitisha, sababu unasema unachojisikia eti wkend etc, utaji jj.
 
maeno yako yanasikitisha, sababu unasema unachojisikia eti wkend etc, utaji jj.

Sasa unataka niseme nisichojisikia! Utajiju ww unaetaka nisema unayojisikia ww! Sitaki kujua ma'frustrations' ulionayo, kama hupendi usomayo, we potezea!
Kwani hujasikia mtu kafa kwa kukwamwa mfupa! 'Is it not a possibility' kwamba anaweza kuwa hatunaye ndo maana hajarudi kutoa matokea ya ushauri?! Don't shy away from the truth man! I'm not a problem, just search it within urself!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom