Kila nikijamiiana baada ya siku mbili au tatu natokewa na vipele/ blisters kuzunguka uume na mda mwingine vinaweka maji baadae hupasuka na vinakauka. Sijui tatizo nin. Kuna wakati niliingiwa na hofu nikapima vdrl nikidhani labda nimepatwa na magonjwa ya zinaa lakini hakukua na tatizo. Na ngozi ya uume nao naona kama umekua line sana si kama zamani. Mwenye utaalam tusaidiane