Msaada wa haraka ndugu zangu

Kakulwa

Senior Member
Oct 10, 2008
113
29
Naomba kwa yeyote anayemfahamu Daktari bingwa wa koo wa watoto(pediatric laryngologist)kwa Dar Es Salaam anisaidie mawasiliano yake.
 
Kuna doctor mmoja wa magonjwa ya watoto anaitwa Mollel, anayo hospital yake pale magomeni mwembechai. labda umjaribu huyo. Pole sana
 
Dr. Kimaro yupo hapa Namamga kwenye haya maduka ya wapemba clinic yake inaitwa ENT karibu na Hook Phamacy...ni dr mzuri sana
 
Yah, nenda umuone Dk. Kimaro pale Namanga... ni daktari mzuri wa ENT kwa watoto. Sina namba yake ya simu, lakini kama mchangiaji hapo juu alivyosema, ana clinic pale Namanga karibu na dirisha la kuuza Luku kama unatokea kituo cha Mbuyuni. Good luck!
 
nenda magomeni mwembe chai Ekenywa, kuna specialist wa ENT ni Dr wa Muhimbili.
 
Back
Top Bottom