Msaada wa haraka kwa Mtanzania aliyezidiwa hospitali Urusi

Poleni Watazania wa St' Petersburg tuta mweka Justine katika maombi yetu
 
Nimeishi St. Petersburg zaidi ya miaka kumi hakuna jambo lilotokea tukashindwa kulitatua. Either sisi wenyewe kama wanafunzi au wakazi wa St. Petersburg na mara kadhaa Ubalozi umekuwa ukitoa msaada pale tunapopeleka maombi yetu. Nadhani mnakumbuka kwani hii sio mara ya kwanza Advocate wewe ndio mkubwa hapo ukiona vijana wanalegalega (wakiwa na sababu au bila sababu ya msingi) chukua initiative muweze kuokoa maisha ya Mwenzetu, ukisubiri vikao hamtafika mbali tayari siku zinaendelea hakuna v]kikako chochote na maamuzi ya haraka yanatakiwa. Vyama vingine vya waafrika hapo vimeshakufa?
 
watanzania asanteni kwa maoni yenu! ukabila ni uadui wa taifa letu.
Justin ni ndugu yetu na tutajitahidi kila kitu hadi tuhakikishe hari yake inaendelea vizuri na anarudi nyumbani.
Mtoa maada hii, alitakiwa kwanza kujua ni nini cha kuandika , kwani kuhusu doc. au si mwanafunzi au ni kabila furani si hoja hapa. sio watz wote walioko nje ni wanafunzi na balozi zetu hazikuwekwa kwa ajiri ya wanafunzi bali kwa raia wa tanzania bila kuangalia rangi, kabila au elimu yake..
Hii topic tuifunge kwani hapa si mahara pake.

Asanteni kwa ushauri na mawazo yenu. Mungu awabariki!
 
Back
Top Bottom