Mdogo wangu alikuwa anatumia dawa za lagactil na artane kwa sababu ya kutuliza kuchanganyikia kwa miezi minne, dawa zimemletea madhara zaidi ni wiki ya pili sasa toka aache kuzimeza, tatizo ni kwamba amekuwa kama teja udenda unamtoka, anatetemeka, hana nguvu na hapati usingizi. Nimsaidieje huyu mtu afya yake irudi. Kuhusu akili yuko sawa . haonyeshi tatizo