Naombeni mnisaidie katika hili:
Nina mpenzi wangu anasoma pale UDOM na tumepanga kuoana japo kuna mambo yananikwaza.Tulianza mapenzi siku nyingi kidogo na baadaye yeye kaenda kusoma.Alipofika tu pale chuoni akakutana na jamaa mmoja ambaye amemteka na wamekuwa wakifanya mapenzi mara kwa mara Dom,Arusha na hata Moshi kwa ni wote wanatoka Moshi.Nikimuuliza huyu wangu anakana na nimewahi kumpigia huyo jamaa naye kagoma,namba yake niliifuma kwenye simu ya huyu mpenzi wangu japo huwa hamwandiki jina huyo jamaa ila nalijua.Tangia waanze mchezo huo huyu wangu amekuwa na tabia ya kunisuspect kuwa nina mpenzi mwingine japo kweli nimewahi kuzaa na dada mmoja kabla ya kuanza mapenzi na huyu N wa UDOM.Nimeweka mtego nimkamate huyo mwizi wangu ila huyu N kategua na hadi sasa watafiti wangu wananipa habari kwamba bado wanaendeleza mchezo na kila nikimwuliza anagoma.Tumepanga kuoana naye lakini sasa nakatishwa tamaa,nifanyeje?mimi nipo dar.