Msaada wa haraka jamani, nahisi naumizwa mda si mrefu

Nliwahi kumpa mtu nauli kituoni ubungo..siku iliofuatia akaniomba hela pale pale muda uleule wa jana yake..nkagundua ni tabia yake..na siku ya tatu nkamkuta palepale anapiga debe na wenzie (mateja)
 
mkuu, ungemkaribisha na safari moja! angetembea tu huyo..bora ukasaidie yatima
 
Aga unaenda toilate then ruka ukuta upotee !hayo majitu matapeli hasa makenya unaweza kufanywa kitu mbya mno,kimbia haraka
 
bado tuna ile sumu ya ujamaa ya kukarimu hata maruhani, ipo siku utamwalika jini kwako, tuwe wabinafsi kama wao ili tuweze kupata maendeleo, kenya ukiwa na shida huna wa kumuuliza utakuambia una pesa ngapi ya kuniluza?? huyo mwache aende zake bora uwe mchoyo lakini ujiwekee akiba, huyo tapeli hebuulitakiwa kumuuliza kamaliz achuo gani, mwaka gani nk ungeshangaa majibu ungepewa.next time kuwa makini.
 
Back
Top Bottom