Msaada wa GTA:liberty city

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
Wakubwa nilinyonya setup za hili game na kuweka kwenye flash yangu kutoka kwenye pc ya rafiki yangu. sa tatizo linakuja ninapotaka kuliinstall katika laptop yangu. Kila linapofikisha 76% linaganda,baada ya mda naandikiwa "program not responding" tatizo litakuwa nini? Mana katika pc ya huyo jamaa yangu inapiga mzigo kama kawaida. Setup zina kama mb 159 hivi
 
liberty city ni gta la psp bwana kwa pc kuna gta 1, 2, san andreas. Vice city na gta 4 tu
 
Kaka niamini, ni kweli lipo la kwenye pc na nimeshawahi licheza mission za mwanzo katika computer ya huyo jamaa yangu, sasa kwangu ndio linagoma.ila Tusubirie comments zaidi lakini nina hakika na nilichopost kaka yangu.
 
hilo ulochukua ni san adreas na ulichukua setup pekeake au file zima la game pia mkuu libert city ni psp game kama alivosema mkuu apo juu
 
hilo ulochukua ni san adreas na ulichukua setup pekeake au file zima la game pia mkuu libert city ni psp game kama alivosema mkuu apo juu

nililochukua ni gta libery city (wengine huliita gta3 kama sikosei) pia ilikuwa ni setup peke yake kaka yangu
 
nililochukua ni gta libery city (wengine huliita gta3 kama sikosei) pia ilikuwa ni setup peke yake kaka yangu

gamestar wana gta 1,2,3 ambayo ni san andreas na 4 ambayo ndo version ya mwisho kwa pc almaarufu kama vice city na pia wana libert city kwa psp inabidi ukubali apo mkuu na pia hauwezi kuinstall setup pekeake cha kufanya kachukue file zima la game uliweke ndo uinstal upo apo
 
mkuu gta4 ndo vice city
Brother gta 4 na jipyaaaaaaaaaaaa gta vice city vikatuni hata hayafanani hata kiduchu
Hii ni series

Ilianza
Gta 1
gta 2 zote hizi 2d

Ikaja
gta vice city then
Gta san andreas hapa vikatuni katuni ila zikaimprove

Ikaja gta 4 ambayo ndo bora kuliko zote na sasa hv washaanza advertise gta 5
 
na kama ni mb 100 na kitu lipo compressed maana mi nnalo kwa psp yangu ni mb mia 4 na kitu.

Liextract upate file la iso then download emulator ya psp zipo nyingi ila narecomend jpcsp then load rom yako (hilo file la iso) then utaweza kucheza psp kwenye pc

Pia kama ni la ps2 unaweza emulate vilevile
 
kwel nimeliona liko poa grafics developed ila nahisi ukubwa wake utakua tatizo kwenye pc mkuu

Setup yenyewe gb 14

Processor: Intel Core 2 Quad 2.4GHz or equivalent AMD Phenom X3 2.1GHz

Memory/RAM: 2.5 GB for XP or Vista Video Card: 512MB NVIDIA 8600 or 512MB ATI 3870

Hard Disk Space: 18GB free

Operating System: Windows XP SP3 or Windows Vista SP1
 
Kwahyo in windows 7 halpiga
 
GTA3 ipo tna ya pc ilitolewa b4 Vice city other name yake ni liberty city
 
Attachments

  • GTA3.jpg
    GTA3.jpg
    273.7 KB · Views: 101
gamestar wana gta 1,2,3 ambayo ni san andreas na 4 ambayo ndo version ya mwisho kwa pc almaarufu kama vice city na pia wana libert city kwa psp inabidi ukubali apo mkuu na pia hauwezi kuinstall setup pekeake cha kufanya kachukue file zima la game uliweke ndo uinstal upo apo

ila pia kuna zilizo chakachuliwa mfano gta vice city imechakachuliwa inaitwa star man mode wame weka magari ya kweli na brand names zake pia wame ongezea na statue of liberty ambayo modification imefanywa na jamaa anaitwa Odie
 
Back
Top Bottom