Msaada wa genuine actveting codes za kaspaskery 2011.

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Nime fanikiwa ku download karspaskery ya 2011 lakini sina code zake plz kama kuna mtu mwenye genuine activeting codes naomba msaada tafadhari wakuu.[
 
Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri
 
Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri

kama umeweza kupost mchango wako hapa umeshindwa nini kuPM kama wenzio na umeona wanasema wamefanikiwa
?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom