msaada wa fundi wa simu za BB

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
591
HAbari wana jamvi
Ebwana BB bold yangu imekufa charging system nAtafuta fundi mzuri wa haya masimu apa dar..
Ntashukuru kwa msaada wowote
 
Search username ID ya Drphone hapa hapa JF, Mpm hiyo shida atakusawazishia, nilishawahi kumpa BB Bold yangu akanirekebishia.
 
Back
Top Bottom