deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 931
- 503
Wakuu kwa muda kama wa week mbili sasa sipati channel ya agape kwangu kama wemebadirisha frequence naomba msaada kwa aliye nazo.
hawa ting wameshahama hiyo satellite sasa wanapatikana kwenye sat w4 inakopatikana dstv ila kama uko mikoani unatakiwa kuwa na ungo wa ku band na mpeg4 receiver.ukinunua kwao watakupa receiver Model AAL-003.tp zake ni 12284 h 27500
Hizi receiver za kichina nasikia ni fake. Hazishiki channel za mpeg 4. Sijajua ukweli wake. wataalamu njoni na hojaMkuu mi nina strong MPEG4 HD imepoteya sigino ipo yakutosha kunajama zangu kama wa 4 naozimekata au inahitaji decod zao tuu kwasasa? musada