Msaada wa free E-Resources

Magezi

JF-Expert Member
Oct 26, 2008
3,359
692
Wandugu naomba kwa yeyote mwenye access ya free E-Resources kwa science & Technology anisaidie make nahitaji ku-access papers mbali mbali ambazo zitanisaidia kupata mawazo tofauti kutoka kwa aurthors wengi.

Kwa mfano mwenye kunisaidia kupata access kwenye www.sciencedirect.com inaweza kunisaidia sana kwani natarajia kuingia kwenye mchakato wa PhD hapa bongo na tatizo ni kupata resources kama hizi.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom