Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Wana taaluma ya IT JF,
Wasaalam, nimeandaa tool moja kwenye excel kwa ajili ya matumizi ya kifedha, sasa nimecreate collum inayoonyesha kama utazidisha matumizi basi matokeo ni kuwa jibu litakuwa negative, yaani ovespending. sasa wataalam shida yangu ni kuwa ninahitaji kujua namna ya kukomand kila cell kwenye hiyo collum ikiwa negative basi ionyeshe kwa rangi nyekundu (kuonyesha alam fulani hivi)
Ninatumia excel 2007, ninaweza pia kuswitch kwenda kwenye excel 2003 kama kunauhitaji huo
Asanteni kwa msaada wenu!!