Msaada wa drivers za firewire IEEE1394A

enstein1

Member
Jul 14, 2009
68
29
Wanajamii nimenunua firewire card yenye namba PCI FIREWIRE IEEE 1394A, nahisi ni ya kichina sababu cd niliyopewa haina drivers zake.

Naomba msaada wa source za ku-download hizo download sababu kurudi dukani nahisi tutagombana bure na mwenze duka.

Nasubiri majibu haraka tafadhali!:A S cry:
 
Wanajamii nimenunua firewire card yenye namba PCI FIREWIRE IEEE 1394A, nahisi ni ya kichina sababu cd niliyopewa haina drivers zake.

Naomba msaada wa source za ku-download hizo download sababu kurudi dukani nahisi tutagombana bure na mwenze duka.

Nasubiri majibu haraka tafadhali!
A%20S%20cry.gif

Usisingizie kwa kuwa ni ya kichina . Unashindwa sababu hujui drivers ziko location kwenye hiyo CD.

Eleza ndani ya CD kuna folders gani?

Toa majibu haraka tafadhali
 
ya kichina?nt posible,Au nw days IEEE inawekwa mpaka kwenye bidhaa za china.
 
naomba msaada hii firewire ni software ya nini hebu nijuzeni

...is a form of connectivity similar to USB, meant to connect peripherals such as MP3 Players and digital cameras to the computer. It operates around 30 times faster than a USB connection.

Kwa ufupi FireWire - A newer type of port connection from apple (similar to USB) and very fast...!

43651d1193516008-macbook-firewire-port-6-pin-firewire_cable_6_4-3.jpg

Firewire+Port.jpg

Firewire_Anschluss_Notebook.jpg

Back
Top Bottom