Msaada wa diet tafadhali

Haiwezekani hata siku moja kwa Umri huo 30,height ya 6.3 ft, kuwa na kilo 70 na KAMA NI KWELI BASI HUYO NI MGONJWA MWAMBIE HAONGEZE UZITO afya yake ipo matatani kwani FOMULA INASEMA Uzito gawa kwa kwa Height in Meters Square isizidi 27 na isipunguwe 23 sasa wako huyo ni 70Kg / 4 M ( 6.3 ft = 2 M) = 17.5 Amabayo kwa scale za wazungu huyo jmaa na ana KWASHAKOO!!

Sorry wandugu, nimekosea kweli vipimo, ilibidi nimpime na nimetumia vipimo vya centimeters... ana 137cm na uzito ni huo wa 70
 
Sorry wandugu, nimekosea kweli vipimo, ilibidi nimpime na nimetumia vipimo vya centimeters... ana 137cm na uzito ni huo wa 70

AISEE KWA HALI HII HUYO JAMAA ANA OBESITY TYPE 3

BMI YAKE NI 37.3 ambayo according to who na unicef huyu jamaa anahitaji msaada wa kupunguza uzito.

kwa urefu wake HUYO JAMAA HATAKIWI KUWA NA UZITO ZAIDI YA 50kg. hii ni maximum.

mwambie aache kuendekeza misosi hiyo si afya ni ugonjwa.
 
Yeah hata mwenyewe ameuchoka ndo maana anatafuta altenatives
 
hakuna haja ya kufanya ile diet ya wiki mbili...inatakiwa abadili life style ,kwa mfano mimi nimeweza kucontrol uzito baada ya kubadili tabia ya kula pamoja na kufanya mazoezi minimum of 3 times a week...kwa mfano kuhusu vyakula,usiku hakuna haja ya kula sana vyakula vigumu kuwa digested kama wali ,ugali nk....labda kidogo tu.....sanasana ni matunda na mbogamboga.....mimi nimeweza kukata kilo 7 ndani ya mwezi mmoja baada ya kubadili life style.....
 
Back
Top Bottom