Msaada wa Dharura Toshiba Satellite laptop.

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,027
3,941
Shalom wakuu wa eneo hili. Nilikuwa naandika taarifa fulani muhimu kwenye laptop yangu niliyotaja hapo juu. Umeme ukakatika na uliporudi saa 1 baadae windows 7 premium ikakataa kufanya kazi na screen ikawa blank ila juu upande wa kushoto wa screen kukawa na maneno ya 'BOOTMGR is missing. Press Ctrl+Alt+Del to restart' Nimejaribu kuminya hizo keys zote kwa pamoja na pia moja baada ya nyingine kwa mpangilio huo lakini hakuna kinachoendelea zaidi ya cursor iliyo chini ya ya maneno hayo kuendelea kublink tu bila kusogea popote. Tafadhalini sana wakuu naombeni msaada wa kipi ninachoweza kufanya ili 'kuifufua' laptop yangu ili niendelee na kazi za watu. Shukurani zimetangulizwa...
 
hyo window tayar ina matatizo....weka cd ya window uta repair ili data zako zisipotee
 
Pengne hdd imekufa tayali tafuta mtu mwenye cd ya window ajaribu kuiweka tena ila asiformat aipandishie juu ili usipoteze data zakoo
 
Tafuta cd uliyotumia wakat wa kuinstal windows yako. Iweke then restart mashine yako. Pres f9 key, chagua boot from cd rom, then chagua repair windows, itarecover errors zote zilizofanya window ishindwe kustart.

NB: Hiyo CD ya window ni lazima iwe ni ileile uliyotumia wakat una install windows yko. Usitafute CD yoyote kisa ni ya windows7 premium inaweza ikakugomea coz windows files za kwenye pc zinaweza zikawa incompatible na zile zilizopo kwenye CD
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom