Msaada wa dawa ya jino pliiiiiz

kidi kudi

JF-Expert Member
May 17, 2011
2,419
1,981
Naomba kama kuna yeyote anaejua dawa ya kuzuia jino kutobolewa na wadudu kwani sasa jino limeanza kutoboka na nipigapo mswaki lazima damu itoke..nitumie dawa gani??
 
Pole sana mdau. Usijali tatizo lako litakwisha kwani nafahamu dawa ya meno ambayo ni nzuri sana kwa ajli ya kuondoa matatizo yote ya kinywa. Inaitwa Forever Bright Tooth Gel. Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote. Inang'arisha meno bila kuchuna tabaka la juu la meno-ENAMEL. Huzuia meno yasitoe damu, kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila kupiga mswaki.
Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara. Haina fluride kama zilivyo aina nyingine za dawa za meno. Fluoride inayopatikana kwenye majiinatosha kwa ajili ya afya. Ikizidi inakuwa na madhara mwilini hasa kwa watoto wadogo huathiri IQ(Intelligence Quotient)

FAIDA: Huzuia kutokwa damu, harufu mbaya, kuimarisha fizi, matundu kwenye meno,huponya vidonda vya mdomoni. Haina fluoride.

Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162 ili niweze kukupatia hii bidhaa muhimu
 
Naomba kama kuna yeyote anaejua dawa ya kuzuia jino kutobolewa na wadudu kwani sasa jino limeanza kutoboka na nipigapo mswaki lazima damu itoke..nitumie dawa gani??

mos-je kuna weus /njano kat ya fiz na meno ambao umejitahid kuutoa kwa mswaki bila mafanikio?kama ndivyo
muone daktar wa kinywa-pil jino/meno yanauma wakat gan ukila ukinywa au yanauma yenyewe -wakati gan?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom