Msaada wa dawa mbadala za kutibu P.I.D

Calixta

Member
Feb 23, 2016
8
1
Habari zenu,

Nilikuwa naomba msaada, dada yangu ameenda kuonana na gyno akapimwa akaambiwa ana P.I.D na hormones zake imepanda moja akapewa dawa, sasa dawa zimemkataa kabisa akinywa anaishiwa nguvu.

Msaada kama kuna mtu anayejua dawa zinazotibu hayo magonjwa tofauti na CIPRO, METRODINAZOLE, BROMOCRIPTINE MESILATE, NEROTHISTERONE

Plz msaada JF doctors
 
PID..Pelvic inflammatory disease. Ni maradhi yanyosababishwa na bacteria aina ya Neisseria Gonorrhea , Chylamidia pamoja mycloplasma homonis wakati mwingine trichomonias Vaginalis huusika ,maradhi huaanzia katika uke na kupanda mpaka kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke. Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mwanamke kupata maradhi haya. Mfano kutoa mimba, kubakwa na hata baadhi ya matibabu Mfano dilatation & curratage operation .
Dawa za msingi ni Doxycycline, Ciprofloxacin pamoja na metronidazole.Bromocriptine pamoja na norestherone tunaziita synthetic progestogen derivatives ambazo zinasaidia kuzuia kupata ujauzito na vile vilevile zinarekebisha mzunguko wa hedhi na kuzuia kutokwa na damu kwa muda mrefu yaani excessive uterine bleeding.Huwa hazitumiki zote kwa pamoja ni labda bromocriptine au norestherone.
Kuna second line drugs for management of PID ambazo ni dawa zinazotumika ni pamoja na ceftriaxone pamoja na erythromycin. Ushauri nenda hospital matibabu yaweze kufanywa kwa umakini.
 
Hospitali kaenda ndio akapewa majibu hayo baada ya vipimo sasa kapewa hizo dawa zikamkataa ndio maana nikaomba msaada wa dawa zngine kama kuna anayejua maana yule gyno baada ya kupigiwa cm akasema arudi kumuona sada na ni mbali alipo ndio maana nikauliza hivyo
 
Wasiliana nasi 0712770729
 
Cheap is expensive. ...Ushauri ni sawa ila tiba kwa social media si sawa ..narudia tena...Rudi hospital for further investigation.
 
Mimi si mtaalam wa hizo dawa ulizo zitaja lakini mimi ni mtaalam wa Dawa za Asili dawa za Mitishamba huyo dada yako akihitaji Tiba za asili kwa ajili kujitibia hayo Maradhi yake ninaweza kumtibia na akapona ukihitaji matibabu toka kwangu unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Heshima yako mzee mimi naomb mawasiliano yako hiyo link imenishinda mzee wangu
 
PID..Pelvic inflammatory disease. Ni maradhi yanyosababishwa na bacteria aina ya Neisseria Gonorrhea , Chylamidia pamoja mycloplasma homonis wakati mwingine trichomonias Vaginalis huusika ,maradhi huaanzia katika uke na kupanda mpaka kuathiri mfumo wa uzazi wa mwanamke. Kuna sababu mbalimbali zinazoweza kumfanya mwanamke kupata maradhi haya. Mfano kutoa mimba, kubakwa na hata baadhi ya matibabu Mfano dilatation & curratage operation .
Dawa za msingi ni Doxycycline, Ciprofloxacin pamoja na metronidazole.Bromocriptine pamoja na norestherone tunaziita synthetic progestogen derivatives ambazo zinasaidia kuzuia kupata ujauzito na vile vilevile zinarekebisha mzunguko wa hedhi na kuzuia kutokwa na damu kwa muda mrefu yaani excessive uterine bleeding.Huwa hazitumiki zote kwa pamoja ni labda bromocriptine au norestherone.
Kuna second line drugs for management of PID ambazo ni dawa zinazotumika ni pamoja na ceftriaxone pamoja na erythromycin. Ushauri nenda hospital matibabu yaweze kufanywa kwa umakini.
Safi mkuu, thanks
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom