msaada wa computer KUHUSU INTERNATE

khaleedi said

Member
Jul 17, 2012
9
0
Yaani nilifungua computer yangu kwa ajili ya kufungua internate ikaniandikia (local area connection) this connection has limited or no connectivity . You might not be able to access the internate or some network resources. Alafu ikaniambia for more information , click this massage. Alafu nika jaribu kufungua internate ika kataa kufunguka so i need help for my ploblem explained above
 
khaleedi,inaitwa internet,sio internate...umataka kuipata internet kwa njia gani?unatumia wireless,cable au modem?....jibu hayo maswali ili uweze kusaidiwa kirahisi zaidi.
 
jibu mawasli uliyoulizwa, cable unatumia wire. network cable, modern au wireless

na unatumia window xp au window seven au window vista? jibu pia haya
 
Unatumia source gani? Wireless device kama simu, modem ya wireless au Local area network ya labda kutoka kwenye hub au ADSL modem?
 
basi kama ni cable kuna probability mbili, kwanza ISP wako ana tatizo la network ambayo ni very unlikely, Two settings za modem yako kuna sehemu haiko sawa labda username na password ya account yako kwa hiyo unashindwa kupata internet au tatu Computer yako inashindwa kupokea IP address automatically kwa hiyo labda ujaribu kuweka IP address manually that is kama unaijua IP ya network yako.. labda uniambie ni cable ya kampuni gani
 
chomeka hiyo cable, then restart computer yako,

ila kabla hujafanya hivyo,

1. nenda control panel
select

  • network and sharing centre
  • kulia kwako chini ya neno internet utaona local area network
  • click then neno properties chini kulia mwa hiyo box iliyokuja hapo
  • utaambiwa this connection use the following item chagua internet protocal version 4 then double click
  • itatokea box na hapo ndio mwisho..hakikisha imechagua obatain IP adress automatic, funga
  • restart computer
  • enjoy
 
Back
Top Bottom