Msaada wa chuo:

Dadavua kwanza kijana....hiyo ni form 4 au 6?? Ok naassume ni f4 result...sasa wewe unataka kwenda chuo gani ilhali inabidi uende A-level??tena PCM...r u kidding us??
 
Nimegundua wewe hapo ni mtu wa ku-solve sana,wahi DIT Diploma Electronics & Telecom!
 
Back
Top Bottom