Msaada wa biashara gani inafaa

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
Wakuu,
Awali ya yote nawasalimu kwa jina la bwana!

Tafadhali naomba mawazo na uzoefu wenu katika biashara, ni ipi ya kufanya. Nina mtaji wa 4M tu nataka nifanye biashara nami nijikwamue kwenye huu umaskini, biashara ya kuku wa kienyeji hiyo ipo out of this, kwani najua naweza anza hata na majike 50 na dume 5,kwa bei ya chini kabisa si zaidi ya 150,000 nina uhakika huo, kwani nipo Iringa nina uwezo wa kuwapata kuku toka vijijini kwani ndo ninakofanyia kazi.
wengine wamenishauri nifanye biashara ya mbao, kutoa mufindi kupeleka dar au arusha, wengine wameshauri biashara ya mafuta ya alizeti, kununua alizeti na kukamua, mie naona mbao ni bora zaidi lakini sina uhakika sana, sasa naomba msaada kwa wale wazoefu au na maoni yenu juu ya hili, pros and cons, ni vema nikaingia nikiwa najua kwa mapana juu ya biashara hii.

Naleta kwenu wakuu.
 
wakuu,
awali ya yote nawasalimu kwa jina la bwana!

Tafadhali naomba mawazo na uzoefu wenu katika biashara, ni ipi ya kufanya. Nina mtaji wa 4m tu nataka nifanye biashara nami nijikwamue kwenye huu umaskini, biashara ya kuku wa kienyeji hiyo ipo out of this, kwani najua naweza anza hata na majike 50 na dume 5,kwa bei ya chini kabisa si zaidi ya 150,000 nina uhakika huo, kwani nipo iringa nina uwezo wa kuwapata kuku toka vijijini kwani ndo ninakofanyia kazi.
Wengine wamenishauri nifanye biashara ya mbao, kutoa mufindi kupeleka dar au arusha, wengine wameshauri biashara ya mafuta ya alizeti, kununua alizeti na kukamua, mie naona mbao ni bora zaidi lakini sina uhakika sana, sasa naomba msaada kwa wale wazoefu au na maoni yenu juu ya hili, pros and cons, ni vema nikaingia nikiwa najua kwa mapana juu ya biashara hii.

Naleta kwenu wakuu.

mkuu sasa kama unaweza fanya biashara ya kuku unahitaji ushauri wa nini? Tatizo kuna kitu kimoja tunashindwa kukielewa.
Aidea nzuri ya biashara ni ile inayoanzishwa na mtu mwenyewe, hizi za kutaka uorozeshewe mara nyingi c nzuri kwa sababu wewe ndo mwenye maamuzi
.
 
Mbao sijui maana kama ulivyosema unafanya kazi basi hii ya mbao itakusumbua maana inaweza kuku lazimu ununue misumeno na uwepo field maana mbao zinapasuliwa katikati ya msitu, uwe na watu waaminifu Wa kupasua, uwanunulie msosi sijui kwa siku ngapi, uwasafirishe hadi huko polini, utafute tractor la kusogeza magogo maana si kila pale unapoangushia mti mbao inapasuliwa inabidi lisogee somewhere. Zikishapasuliwa zibebwe kwenda ktk kituo ambacho utafhagua hadi zifike idadi unayotaka. Inabidi uwe na ulinzi maana unajua tena, zipakizwe sasa kwenye gari dogo zisafirishwe maana hayo makubwa hayaendi misituni, upakue na upakie kwenye lori kubwa. Hapo nimesahau Kibali kuna sehemu kinahitajika. Usafirishe sasa huku town nako huwezi fungua duka inabidi umletee dalali. Hapo sasa huchelewi kuambiwa aa amefiwa kasafiri.BIASHARA NGUMU SANA HII WEWE FUGA HAO KUKU UTAKUWA UNAWAONA KILA SIKU HAKUNA DALALI KUKUDHULUMU WALA NINI. Kila la kheri.
 
Anza na interests zako kwanza...
Biashara zote ni ngumu na ni rahisi
inategemea mtu na mtu
 
mtaji huo ni mkubwa sana, je wajua kwamba biashara ya uyoga ni bomba sana. apo iringa town si kuna mahotel mengi sana ya kitalii?? kama unapenda na unaujuzi jaribu myfriend
 
Anza na interests zako kwanza...
Biashara zote ni ngumu na ni rahisi
inategemea mtu na mtu

Suala si interest mkuu! suala ni best bussiness to do na yenye faida, au ambayo itakutoa. najua watiu wana maexperience ndo niliotaka wanijuze.
 
Mbao sijui maana kama ulivyosema unafanya kazi basi hii ya mbao itakusumbua maana inaweza kuku lazimu ununue misumeno na uwepo field maana mbao zinapasuliwa katikati ya msitu, uwe na watu waaminifu Wa kupasua, uwanunulie msosi sijui kwa siku ngapi, uwasafirishe hadi huko polini, utafute tractor la kusogeza magogo maana si kila pale unapoangushia mti mbao inapasuliwa inabidi lisogee somewhere. Zikishapasuliwa zibebwe kwenda ktk kituo ambacho utafhagua hadi zifike idadi unayotaka. Inabidi uwe na ulinzi maana unajua tena, zipakizwe sasa kwenye gari dogo zisafirishwe maana hayo makubwa hayaendi misituni, upakue na upakie kwenye lori kubwa. Hapo nimesahau Kibali kuna sehemu kinahitajika. Usafirishe sasa huku town nako huwezi fungua duka inabidi umletee dalali. Hapo sasa huchelewi kuambiwa aa amefiwa kasafiri.BIASHARA NGUMU SANA HII WEWE FUGA HAO KUKU UTAKUWA UNAWAONA KILA SIKU HAKUNA DALALI KUKUDHULUMU WALA NINI. Kila la kheri.

Asante mkuu! ila kuku watakuwepo tu, si unajua si wavijijini? but will do it as a second bussiness. Sihitaji kwenda kupasua porini, ni kununua kwa wapusuaji na kupeleka kwa either wholesallers or watumiaji, nilitaka kujua pros na cons ya biashara hii, thanks anyway kwa ushauri!
 
mtaji huo ni mkubwa sana, je wajua kwamba biashara ya uyoga ni bomba sana. apo iringa town si kuna mahotel mengi sana ya kitalii?? kama unapenda na unaujuzi jaribu myfriend

Uyoga mkuu, hapana, watalii wenyewe Iringa? mhhh.
 
Wakuu,
Awali ya yote nawasalimu kwa jina la bwana!

Tafadhali naomba mawazo na uzoefu wenu katika biashara, ni ipi ya kufanya. Nina mtaji wa 4M tu nataka nifanye biashara nami nijikwamue kwenye huu umaskini, biashara ya kuku wa kienyeji hiyo ipo out of this, kwani najua naweza anza hata na majike 50 na dume 5,kwa bei ya chini kabisa si zaidi ya 150,000 nina uhakika huo, kwani nipo Iringa nina uwezo wa kuwapata kuku toka vijijini kwani ndo ninakofanyia kazi.
wengine wamenishauri nifanye biashara ya mbao, kutoa mufindi kupeleka dar au arusha, wengine wameshauri biashara ya mafuta ya alizeti, kununua alizeti na kukamua, mie naona mbao ni bora zaidi lakini sina uhakika sana, sasa naomba msaada kwa wale wazoefu au na maoni yenu juu ya hili, pros and cons, ni vema nikaingia nikiwa najua kwa mapana juu ya biashara hii.

Naleta kwenu wakuu.

Salamu Zimefika. Remmy Biashara Zipo Katika Aina Kuu 3 ;
1.Zinazokubalika Kidini ,
2.Zinazokubalika Kiserikali ,
3.Zisizokubalika Kiserikali/Kidini.

Kabla Sijatoa Mawazo Ya Biashara Ningependa Kujua Vitu Viwili Kutoka Kwako .
1. Ungependa Kufanya Biashara Gani Katika Makundi Hayo 3 Hapo Juu?
2. Orodhesha vitu 10 Unavyovipenda Katika Maisha yako?

Siku Njema.
 
Salamu Zimefika. Remmy Biashara Zipo Katika Aina Kuu 3 ;
1.Zinazokubalika Kidini ,
2.Zinazokubalika Kiserikali ,
3.Zisizokubalika Kiserikali/Kidini.

Kabla Sijatoa Mawazo Ya Biashara Ningependa Kujua Vitu Viwili Kutoka Kwako .
1. Ungependa Kufanya Biashara Gani Katika Makundi Hayo 3 Hapo Juu?
2. Orodhesha vitu 10 Unavyovipenda Katika Maisha yako?

Siku Njema.

Thanks! napenda zinazokubalika na serikali pamoja na dini kwa pamoja ingawa hujaweka option hiyo. Ni mkristo.
kuorodhesha vitu kumi ninavyopenda mbona mtihani? Niambie ipi biashara inayoleta faida kubwa na isiyoumiza kichwa na isiyotumia mda mwingi.
 
Thanks! napenda zinazokubalika na serikali pamoja na dini kwa pamoja ingawa hujaweka option hiyo. Ni mkristo.
kuorodhesha vitu kumi ninavyopenda mbona mtihani? Niambie ipi biashara inayoleta faida kubwa na isiyoumiza kichwa na isiyotumia mda mwingi.

Choose Ideas According To Your Capital And Environment Of Your Area . Below Is A List Of Some Of Marketables Ideas In Alphabetical Order;

A

Accountant
Adventure Tourism
Advertising Agency
Advertising Copywriter
Advertising Maps
Advertising Sheets
Advertising Specialty Sales
Aerobics Classes
Amusement Rides, Inflatable
Animal Behavior Consultant
Answering Service
Antifreeze Recycling Services
Antique and Collectibles Dealer
Antique Book and Magazine Dealer
Apartment Locator
Apiary
Appliance Repair
Architect
Art Consultant
Art Gallery
Artist, Freelance
Artist Management
Art Restoration
Assembling Products
Association Management Service
Astrological Charts
Attorney
Author -
Auto Sales

B

Baby Handprint and Footprint Bronzing Service
Baby Proofing Service
Baby Shoe Bronzing Service
Balloon Animals
Balloon Decorating
Balloon Rides
Basketball Tournaments
Baskets, Specialty
Beautician
Beauty Consultant
Bed and Breakfast
Bicycle Repair
Bill Auditing Service
Billiards, Amateur League
Birthday Greeting Service
Blind Cleaning
Bookkeeping Service
Braille Transcribing
Building/Home Inspection Service
Bulletin Board Advertising Service
Bumper Stickers
Business Broker
Business Consultant
Business Financing Service
Business Network Organizer
Business Plan Consultant
Business Plan Writer
Buttons/Badges

C

Cabinet Making
Cable TV Spots
Cake Decorating
Calligraphy
Candle Making
Canning
Car or Van, Using to Make Money
Carpenter
Carpet and Upholstery Cleaning
Cartoonist
Catering
Ceramics
Chair Caning
Cheese Making
Childbirth Instructor
Children's Clothes
Children's Transportation Service
Chimney Sweep
Cleaning, House/Apartment
Cleaning Broker
Cleaning Service
Clip Art
Closet Organizer
Clothing and Accessories Design
Clown
Coaching
Coin Dealer
Collection Agency
Color Consultant
Columnist
Commercial Artist
Communications
Computer Animator
Computer Bulletin Board Owner
Computer Consultant
Computer Data Back-Up Service
Computer Programmer
Computer Repair
Computer Training
Computer Tutor for Children
Concert Promotion
Construction Management Consultant
Consultant, Art
Consultant, Beauty
Consultant, Business
Consultant, Color
Consultant, Computer
Consultant, Home Business
Consultant, Home Security
Consultant, Image
Consultant, Internet
Consultant, Landscaping
Consultant, Small Business
Consultant, Time Management
Consultant, Wedding
Contractor Referral Service
Cooking School
Co-Op Coupons
Copy Service
Copywriter, Online
Correspondence Club
Cosmetics Sales
Cosmetologist
Costume Design
Coupon Books
Crafts
Craft Broker
Crafts Instructor
Craft Supplies Catalog
Credit and Debt Counselling Service

D

Dance Instructor
Dating and Escort Service
Daycare Center
Daycare for Adults
Dental Claims Processing
Designer Pet Houses
Desktop Publishing
Desktop Video
Dinner Delivery Service
Directory Publisher
Direct Sales
Disk Duplication
Diversity Consultant
Dog Trainer
Dog Walker
Doll Maker
Doula
Dressmaking/Sewing
Dried Floral Arrangements
Dry Cleaning Pick-Up and Delivery Service

E

Editor
Elder Services
Email Processing
Embossed Stationery
Employee Trainer
Employment Agency
Engineering Consultant
Errand Service
Event Management
Event Planner
Executive Search
Expert Services Broker
Expert Witness
Export Agent
Exterminator
Ezine Publishing

F

Facialist
Family Tree Researcher
Filing Systems
Finance Broker
Financial Advisor
Financial Planner
Firewood Supply
Fishing Supplies
Fish Tank/Bird Cage Maintenance and Sales
Fitness Trainer
Flea Market Seller
Floral Arrangements
Foley Artist
Food Delivery Service
Forum Manager
Framing (Picture) Service
Franchise Consultant
Franchise Owner
Freebie Ad Magazines
Free Give-Aways
Freelance Artist
Freelance Photographer
Freelance Writer
Fundraiser
Furniture Restoration and Refurbishment

G

Garage Sales
Garage Sales Promotion
Garden Consultant
Gardener
Genealogist
Ghost Writer
Gift Baskets
Gift Baskets, Gourmet
Give-Aways
Gourmet Jam and Jelly
Grant Proposal Consultant
Grant Proposal Writer
Graphic Artist
Greenhouse
Greeting Cards
Greeting Card Sending Service
Grocery Shopping Service

H

Hairdresser
Handmade Soaps
Handyman/woman Service
Hauling Service
Healthcare Consultant
Herbalist
Herb and Spice Business
Herb Gardener
Herb Wreaths and Crafts
Home Accessories Sales
Home Business Consultant
Home Decorating
Home Furnishings
Home Healthcare Agency
Home Inspection Service
Home-Made Booklets
Home-Made Foods
Home Maintenance
Home Office Organizer
Home Organizer
Home Plan Designer
Home Security Consultant
Home Swapping Registry
Horse Boarding
Horse Exerciser
Hospital Bill Auditing
Household Management
Housekeeper
House Sitting Registry
House-Sitting Service
Housewares
"How-To" Videos
Human Resources Consultant

I

Image Consultant
Image Transfer
Import/Export
Imprinting
Independent Contractor
Indoor Environmental Tester
Indoor Fountains
Information Broker
Infopreneur
Insurance Sales
Internet Consultant
Interior Decorating
International Consultant
Internet Marketing
Internet Recruiting
Internet Service Provider
Interpreter/Translator
Inventory Taping Service
Invitation Printing
J

Jewelry, Wire
Jewelry Designer
Junk Car Removal

L

Lamaze Instructor
Landscaping Consultant
Landscaping Service
Laundry Service
Lawn Maintenance
Lawn Mower and Motor Repair
Lawn Sign Rentals
Leadlighting
Legal Transcription Service
Limousine Service
Lingerie Sales
Locating Service
Locksmith
Long Distance Telecommunications Products

M

Magician
Mailing List Service
Mail House
Mailing List Services
Mail Order
Make-Up Artist
Management Consultant
Manicurist
Marketing Consultant
Market Research
Massage Therapy
Matchmaker Service
Meals for Handicapped
Medical Billing
Medical Claims Processing
Medical Coding
Medical Office Consultant
Medical Transcription Service
Meeting and Event Planner
Menu Planner
Microfarming
Mini-blind Cleaning Service
Mobile Car Wash/Detailing Service
Mobile Disc Jockey
Mobile Manicurist
Mobile Notary Public
Mobile Pet Groomer
Mobile Puppet Theater
Monogramming
Moving Service
Music
Music Lessons
Mystery Shopper

N

Name Certificates
Nanny Finding Service
Nature Hikes
New Media/Multimedia Production
New-Mom Care
Newsletter Production for Clients
Newsletter Publishing
Newspaper Clipping Service
Notary Public
Nutritional Supplements Sales

O

Office Organizer
Office Plant Care
Office Support Service
Online Internet Training
Online Newspaper
Online Researcher/Abstractor
Online Retailer
Outdoor Adventures

P

Packing/Unpacking Service
Painting
Paper Recycling
Paralegal
Party Catering
Party Planner
Party Plan Sales
Payroll Service
Personal Chef
Personal Fitness Trainer
Personalized Stationery
Personal Shopper
Personal Sports Scorecards
Pet Breeding
Pet Fashions
Pet Food and Supplies Delivery
Pet Grooming Service
Pet Hotel
Pet Matching Service
Pet Photography Service
Pet Products
Pet Show Business
Pet Sitting/Home-Care Service
Petting Zoo Owner
Pet Transportation
Pet Walking
Photos, 3-D
Photos to Video, Transferring
Photography
Photography, scenic (for homesick expats)
Piano Tuner
Picture Framing
Plant Nursery
Polling/Surveying
Pool Cleaning
Portrait and Wedding Photography
Portrait Artist
Potted Plants
Poultry Farmer
Pregnancy Fitness Class
Printing Business, Small
Printing Broker
Printer Toner Recharging
Printing, Invitations
Private Investigator
Private Practice Consultant
Process Server
Product Assembly
Product Development Consultant
Professional Organizer
Proofreader
Property Damage Appraisal Service
Property Manager
Proposal Consultant
Public Relations Agency
Public Relations Specialist
Public Speaker

R

Real Estate Appraiser
Real Estate Magazine
Realtor
Recipe Collections
Referral Service
Relocation Consultant
Reminder Service
Remodeling Contractor
Reporter
Restaurant Booking Service
Restaurant Delivery Service
Resume Writing Service
Retail Consultant
Reunion Organizer
Reviewer
Risk Management Consultant
River Rafting Guide
Roommate Finding Service
Rubber Stamps

S

Safety Consultant
School Photographer
Screen Printing
Scopist
Screen Printing
Secretarial Service
Secret Shopper
Security Consultant
Security Video Service
Self Defense Instructor
Self-Improvement Seminars
Self Publishing
Seminars and Workshops
Seminar Promotion
Seniors Exercise Classes
Sewing/Dressmaking
Shareware Programmer
Sharpening Service
Shopping Service
Show Promoting
Shuttle Service
Sightseeing Tours
Sign Design and Painting
Sign Language Interpreter
Singer
Small Business Consultant
Snow Removal Service
Software Creation
Software Trainer
Song Writer
Speakers Agency
Special Event Videos
Specialty Consultant
Stained Glass

T

Tarot Reader
Tax Return Preparation Service
Teaching
Technical Writer
Telemarketing
Telephone Answering Service
Telephone Service Reseller
Temporary Help Agency
3-D Photos
Time Management Consultant
Tool Rental Service
Tour Guide
Training
Transferring Photos to Video
Translation Service
Transcript Digesting Service
Transcription Services
Translator/Interpreter
Travel Agency
Travel Agency, Specialty
Travel Club
T-Shirt Design
Tupperware Sales
Tutoring
TV Repair
Typing Service

U

Used Cars
Used CDs
Using Your Car or Van to Make Money
Utility Auditing

V
Vacation House Swap Service
Vending Machine Business
VCR Repair
Video Duplication Service
Video Taping Service
Vitamin/Nutrition/Weight Loss Product Sales
Voicemail
Voice Instructor
Voice Over

W

Website Design
Website Development
Web Hosting Services
Web Marketing
Wedding Consultant
Wedding Coordinator
Wedding Planner
Wedding Video Service
Welcoming Service
Window Washing Service
Windshield Repair
Woodworking
Word Processing
Workshops, Seminars and
Writing Audio Cassette Scripts
Writing Press Releases

Y

Yard Clean Up
 
Wakuu,<br />
Awali ya yote nawasalimu kwa jina la bwana!<br />
<br />
Tafadhali naomba mawazo na uzoefu wenu katika biashara, ni ipi ya kufanya. Nina mtaji wa 4M tu nataka nifanye biashara nami nijikwamue kwenye huu umaskini, biashara ya kuku wa kienyeji hiyo ipo out of this, kwani najua naweza anza hata na majike 50 na dume 5,kwa bei ya chini kabisa si zaidi ya 150,000 nina uhakika huo, kwani nipo Iringa nina uwezo wa kuwapata kuku toka vijijini kwani ndo ninakofanyia kazi.<br />
wengine wamenishauri nifanye biashara ya mbao, kutoa mufindi kupeleka dar au arusha, wengine wameshauri biashara ya mafuta ya alizeti, kununua alizeti na kukamua, mie naona mbao ni bora zaidi lakini sina uhakika sana, sasa naomba msaada kwa wale wazoefu au na maoni yenu juu ya hili, pros and cons, ni vema nikaingia nikiwa najua kwa mapana juu ya biashara hii.<br />
<br />
Naleta kwenu wakuu.
<br />
<br />
Mkuu,kama una utaalamu na mambo ya computer skills hasa photoshop we fungua fremu yako hapo uwe unapiga passport size pamoja na photo editing hasa kama upo sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi. Hiyo kitu inalipa sana kwani per day waweza pata hata 500000 kama mambo yatakuwa mazuri, yote kwa yote ni kwamba unatakiwa kuwa mbunifu na biashara always ni 50/50.
 
Jaribu hii biashara jifunze kutengeneza madirisha na milango ya aluminium kwa sasa deal sana na watu wana move toka kwenye matumizi ya mbao. Haihitaji mtaji mkubwa kama una 10m unakuwa na vifaa vyote unabaki na change. Mtu akikuhitaji kwa kazi yake ni lazima akupe advance ya materials. Muhimu uwe mkweli.
 
Napendekeza tu - jaribu duka la vipodozi, nywele za kina mama, accessories za kina mama kama pochi, viatu etc na perfum za kina mama.
 
Thanks! napenda zinazokubalika na serikali pamoja na dini kwa pamoja ingawa hujaweka option hiyo. Ni mkristo.
kuorodhesha vitu kumi ninavyopenda mbona mtihani? Niambie ipi biashara inayoleta faida kubwa na isiyoumiza kichwa na isiyotumia mda mwingi.
Hapa ndipo tunapokosea watu wengi sana. Hakuna kitu kama hiki, kifupi ni kuwa kama alivyosema The Boss biashara zote ni ngumu na rahisi inategemea na interest yako
 
Choose Ideas According To Your Capital And Environment Of Your Area . Below Is A List Of Some Of Marketables Ideas In Alphabetical Order;

A

Accountant
Adventure Tourism
Advertising Agency
Advertising Copywriter
Advertising Maps
Advertising Sheets
Advertising Specialty Sales
Aerobics Classes
Amusement Rides, Inflatable
Animal Behavior Consultant
Answering Service
Antifreeze Recycling Services
Antique and Collectibles Dealer
Antique Book and Magazine Dealer
Apartment Locator
Apiary
Appliance Repair
Architect
Art Consultant
Art Gallery
Artist, Freelance
Artist Management
Art Restoration
Assembling Products
Association Management Service
Astrological Charts
Attorney
Author -
Auto Sales

B

Baby Handprint and Footprint Bronzing Service
Baby Proofing Service
Baby Shoe Bronzing Service
Balloon Animals
Balloon Decorating
Balloon Rides
Basketball Tournaments
Baskets, Specialty
Beautician
Beauty Consultant
Bed and Breakfast
Bicycle Repair
Bill Auditing Service
Billiards, Amateur League
Birthday Greeting Service
Blind Cleaning
Bookkeeping Service
Braille Transcribing
Building/Home Inspection Service
Bulletin Board Advertising Service
Bumper Stickers
Business Broker
Business Consultant
Business Financing Service
Business Network Organizer
Business Plan Consultant
Business Plan Writer
Buttons/Badges

C

Cabinet Making
Cable TV Spots
Cake Decorating
Calligraphy
Candle Making
Canning
Car or Van, Using to Make Money
Carpenter
Carpet and Upholstery Cleaning
Cartoonist
Catering
Ceramics
Chair Caning
Cheese Making
Childbirth Instructor
Children's Clothes
Children's Transportation Service
Chimney Sweep
Cleaning, House/Apartment
Cleaning Broker
Cleaning Service
Clip Art
Closet Organizer
Clothing and Accessories Design
Clown
Coaching
Coin Dealer
Collection Agency
Color Consultant
Columnist
Commercial Artist
Communications
Computer Animator
Computer Bulletin Board Owner
Computer Consultant
Computer Data Back-Up Service
Computer Programmer
Computer Repair
Computer Training
Computer Tutor for Children
Concert Promotion
Construction Management Consultant
Consultant, Art
Consultant, Beauty
Consultant, Business
Consultant, Color
Consultant, Computer
Consultant, Home Business
Consultant, Home Security
Consultant, Image
Consultant, Internet
Consultant, Landscaping
Consultant, Small Business
Consultant, Time Management
Consultant, Wedding
Contractor Referral Service
Cooking School
Co-Op Coupons
Copy Service
Copywriter, Online
Correspondence Club
Cosmetics Sales
Cosmetologist
Costume Design
Coupon Books
Crafts
Craft Broker
Crafts Instructor
Craft Supplies Catalog
Credit and Debt Counselling Service

D

Dance Instructor
Dating and Escort Service
Daycare Center
Daycare for Adults
Dental Claims Processing
Designer Pet Houses
Desktop Publishing
Desktop Video
Dinner Delivery Service
Directory Publisher
Direct Sales
Disk Duplication
Diversity Consultant
Dog Trainer
Dog Walker
Doll Maker
Doula
Dressmaking/Sewing
Dried Floral Arrangements
Dry Cleaning Pick-Up and Delivery Service

E

Editor
Elder Services
Email Processing
Embossed Stationery
Employee Trainer
Employment Agency
Engineering Consultant
Errand Service
Event Management
Event Planner
Executive Search
Expert Services Broker
Expert Witness
Export Agent
Exterminator
Ezine Publishing

F

Facialist
Family Tree Researcher
Filing Systems
Finance Broker
Financial Advisor
Financial Planner
Firewood Supply
Fishing Supplies
Fish Tank/Bird Cage Maintenance and Sales
Fitness Trainer
Flea Market Seller
Floral Arrangements
Foley Artist
Food Delivery Service
Forum Manager
Framing (Picture) Service
Franchise Consultant
Franchise Owner
Freebie Ad Magazines
Free Give-Aways
Freelance Artist
Freelance Photographer
Freelance Writer
Fundraiser
Furniture Restoration and Refurbishment

G

Garage Sales
Garage Sales Promotion
Garden Consultant
Gardener
Genealogist
Ghost Writer
Gift Baskets
Gift Baskets, Gourmet
Give-Aways
Gourmet Jam and Jelly
Grant Proposal Consultant
Grant Proposal Writer
Graphic Artist
Greenhouse
Greeting Cards
Greeting Card Sending Service
Grocery Shopping Service

H

Hairdresser
Handmade Soaps
Handyman/woman Service
Hauling Service
Healthcare Consultant
Herbalist
Herb and Spice Business
Herb Gardener
Herb Wreaths and Crafts
Home Accessories Sales
Home Business Consultant
Home Decorating
Home Furnishings
Home Healthcare Agency
Home Inspection Service
Home-Made Booklets
Home-Made Foods
Home Maintenance
Home Office Organizer
Home Organizer
Home Plan Designer
Home Security Consultant
Home Swapping Registry
Horse Boarding
Horse Exerciser
Hospital Bill Auditing
Household Management
Housekeeper
House Sitting Registry
House-Sitting Service
Housewares
"How-To" Videos
Human Resources Consultant

I

Image Consultant
Image Transfer
Import/Export
Imprinting
Independent Contractor
Indoor Environmental Tester
Indoor Fountains
Information Broker
Infopreneur
Insurance Sales
Internet Consultant
Interior Decorating
International Consultant
Internet Marketing
Internet Recruiting
Internet Service Provider
Interpreter/Translator
Inventory Taping Service
Invitation Printing
J

Jewelry, Wire
Jewelry Designer
Junk Car Removal

L

Lamaze Instructor
Landscaping Consultant
Landscaping Service
Laundry Service
Lawn Maintenance
Lawn Mower and Motor Repair
Lawn Sign Rentals
Leadlighting
Legal Transcription Service
Limousine Service
Lingerie Sales
Locating Service
Locksmith
Long Distance Telecommunications Products

M

Magician
Mailing List Service
Mail House
Mailing List Services
Mail Order
Make-Up Artist
Management Consultant
Manicurist
Marketing Consultant
Market Research
Massage Therapy
Matchmaker Service
Meals for Handicapped
Medical Billing
Medical Claims Processing
Medical Coding
Medical Office Consultant
Medical Transcription Service
Meeting and Event Planner
Menu Planner
Microfarming
Mini-blind Cleaning Service
Mobile Car Wash/Detailing Service
Mobile Disc Jockey
Mobile Manicurist
Mobile Notary Public
Mobile Pet Groomer
Mobile Puppet Theater
Monogramming
Moving Service
Music
Music Lessons
Mystery Shopper

N

Name Certificates
Nanny Finding Service
Nature Hikes
New Media/Multimedia Production
New-Mom Care
Newsletter Production for Clients
Newsletter Publishing
Newspaper Clipping Service
Notary Public
Nutritional Supplements Sales

O

Office Organizer
Office Plant Care
Office Support Service
Online Internet Training
Online Newspaper
Online Researcher/Abstractor
Online Retailer
Outdoor Adventures

P

Packing/Unpacking Service
Painting
Paper Recycling
Paralegal
Party Catering
Party Planner
Party Plan Sales
Payroll Service
Personal Chef
Personal Fitness Trainer
Personalized Stationery
Personal Shopper
Personal Sports Scorecards
Pet Breeding
Pet Fashions
Pet Food and Supplies Delivery
Pet Grooming Service
Pet Hotel
Pet Matching Service
Pet Photography Service
Pet Products
Pet Show Business
Pet Sitting/Home-Care Service
Petting Zoo Owner
Pet Transportation
Pet Walking
Photos, 3-D
Photos to Video, Transferring
Photography
Photography, scenic (for homesick expats)
Piano Tuner
Picture Framing
Plant Nursery
Polling/Surveying
Pool Cleaning
Portrait and Wedding Photography
Portrait Artist
Potted Plants
Poultry Farmer
Pregnancy Fitness Class
Printing Business, Small
Printing Broker
Printer Toner Recharging
Printing, Invitations
Private Investigator
Private Practice Consultant
Process Server
Product Assembly
Product Development Consultant
Professional Organizer
Proofreader
Property Damage Appraisal Service
Property Manager
Proposal Consultant
Public Relations Agency
Public Relations Specialist
Public Speaker

R

Real Estate Appraiser
Real Estate Magazine
Realtor
Recipe Collections
Referral Service
Relocation Consultant
Reminder Service
Remodeling Contractor
Reporter
Restaurant Booking Service
Restaurant Delivery Service
Resume Writing Service
Retail Consultant
Reunion Organizer
Reviewer
Risk Management Consultant
River Rafting Guide
Roommate Finding Service
Rubber Stamps

S

Safety Consultant
School Photographer
Screen Printing
Scopist
Screen Printing
Secretarial Service
Secret Shopper
Security Consultant
Security Video Service
Self Defense Instructor
Self-Improvement Seminars
Self Publishing
Seminars and Workshops
Seminar Promotion
Seniors Exercise Classes
Sewing/Dressmaking
Shareware Programmer
Sharpening Service
Shopping Service
Show Promoting
Shuttle Service
Sightseeing Tours
Sign Design and Painting
Sign Language Interpreter
Singer
Small Business Consultant
Snow Removal Service
Software Creation
Software Trainer
Song Writer
Speakers Agency
Special Event Videos
Specialty Consultant
Stained Glass

T

Tarot Reader
Tax Return Preparation Service
Teaching
Technical Writer
Telemarketing
Telephone Answering Service
Telephone Service Reseller
Temporary Help Agency
3-D Photos
Time Management Consultant
Tool Rental Service
Tour Guide
Training
Transferring Photos to Video
Translation Service
Transcript Digesting Service
Transcription Services
Translator/Interpreter
Travel Agency
Travel Agency, Specialty
Travel Club
T-Shirt Design
Tupperware Sales
Tutoring
TV Repair
Typing Service

U

Used Cars
Used CDs
Using Your Car or Van to Make Money
Utility Auditing

V
Vacation House Swap Service
Vending Machine Business
VCR Repair
Video Duplication Service
Video Taping Service
Vitamin/Nutrition/Weight Loss Product Sales
Voicemail
Voice Instructor
Voice Over

W

Website Design
Website Development
Web Hosting Services
Web Marketing
Wedding Consultant
Wedding Coordinator
Wedding Planner
Wedding Video Service
Welcoming Service
Window Washing Service
Windshield Repair
Woodworking
Word Processing
Workshops, Seminars and
Writing Audio Cassette Scripts
Writing Press Releases

Y

Yard Clean Up

Haya Remmy kazi kwako
 
REMMY, keep on writing down all the ideas proposed na this is a first sample of your research, unatakiwa ufanye utafiti sana before haujaingia kwenye biashara husika. namie nimefaidika na idea ya photoshop hapo juu nadhani itanifaa maana nilipo pana population kubwa sana na wanafunzi wa vyuo wengi so nitaendelea kufanya utafiti. idea inaweza ikawa super kuendana na mazingira....pia angalia ishu za kuwa dealer au agent maana hazihitaji muda mwingi mfano; agent wa soda, uniliver, maji, sukari, bia, cigarette etc. kazi ni kwako
 
Kama uko Iringa mjini, naomba ufanye survey ya biashara hii,
Iringa hakuna cafe za vyakula baada ya saa tatu usiku ( achia mbali baba nusa pale mjini na hapa mbele karibu na TFA kuna ki-cafe kipya), wasafirishaji wengi hasa madereva wanalazimika kula pale kwa Baba nusa hata kama Quality is poor. Ukienda kule juu Miami pub ni vurugu tupu,kwa wasio walevi si salama kwao.

Kwa sasa route ya Iringa/Dodoma inaanza kujengwa kwa lami,ukiweza kupata location hapo mjini kwa kununua ile mijumba mibovu na ukaweka huduma hiyo unaweza kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa wa mahotel.
 
Asante mkuu! ila kuku watakuwepo tu, si unajua si wavijijini? but will do it as a second bussiness. Sihitaji kwenda kupasua porini, ni kununua kwa wapusuaji na kupeleka kwa either wholesallers or watumiaji, nilitaka kujua pros na cons ya biashara hii, thanks anyway kwa ushauri!
<br />
<br />
mtaji ulionao ni mdogo sana kwa biashara ya mbao na uwezekano ni mkubwa ukaishia kwenye vibali na usafiri. kwa mtaji huo buni biashara iliyo ndani ya mazingira yanayokuzunguka.
 
Back
Top Bottom