msaada wa application ya kulock other applications & folders kwenye nokia5235 (s60, V5)

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
salamu wakuu...
niashida ya application ya kulock other application & folders kwenye simu yangu ya nokia5235 ambayo ni s60 version 5(5th edition).
napata tabu sana na hii simu maana nimesave pasword zangu katika browser so mtu yoyote akiwa anaitumia anaweza kuaccess my accounts za facebook & yahoo katika browser kwakuwa nimesave password kazi yake ni kuclick login tu..alafu pia kuna bahadhi ya sehemu kama kwenye my notes ambapo huwa naweka vitu vyangu vya msingi na sitaki watu wavione..wakuu nisaidieni jamani..siwezi kumnyima mtu hii simu anaponiomba sabau wengi huwa wananiomba wasikilize music lakini wengine ni wapekuzi soo wanaingia sehejmu nyingine ...........
natanguliza shukrani
 
Hzo zote ni symbian s60 v5....

Sjui ni browser yangu au vipi kwa ninavojua ukieka www na subdomain . Lazma ilete error so mawili uandike www.mobile9.com au uandike galery.mobile9.com maana siwezi ku open link yako
 
best way ni kaspersky uta hide na kulock file na folder lolote, kublock no na msg,

jinsi gani naweza kupata kaspersky full version...hapa ninayo lakini baada ya siku saba itaisha muda wake....ninablackberry curve8620 ambapo kwa hiyo natumia software moja inaitwa AFBBAAPPSLOCK. Iko poa sana na inapiga mzigo vile ninavyotaka..
 
alafu kuna software yoyote ambayo inaweza kurecord all the events taking place kwenye simu yangu?..yani kama nimeiacha simu mtu akaichukua kuichezea nijue kila kitu alichokuwa nafanya..kama alipiga simu basi nione namba aliyopiga na kuwe na record ya maongezi, kama alituma msg nione au kama alichungulia folders zangu pia nione kabisa alichungulia folder zipi na akaishia wapi..jiyp application ipo kweli?/
 
jinsi gani naweza kupata kaspersky full version...hapa ninayo lakini baada ya siku saba itaisha muda wake....ninablackberry curve8620 ambapo kwa hiyo natumia software moja inaitwa AFBBAAPPSLOCK. Iko poa sana na inapiga mzigo vile ninavyotaka..

mi si mtaalamu wa blackberry ila kwa symbian kuna patch una install then kaspersky inakua full version maybe ipo kwa blackberry search it google

Ishu ya kurecord pia najua kwa symbian ipo application inaitwa symbian recorder ina operate background na kurekodi call zote
 
kaka naomba unisaidie basi hiyo patch..nimejaribu kucheki application zote ni trial versions..hata hiyo symbian recorder..natumia pia boldbeast recorder but ni trial...naomba niwezeshe mkuu
 
acha kuangaika,nenda m.mobile9.com kuna application zote unazohitaji......

nimeshavisit hiyo site sema ninazozihitaji zipo kama trila versions..sasa msaada ninaoomba ni jinsi ya kuzifanya ziwe full version
 
acha kuangaika,nenda m.mobile9.com kuna application zote unazohitaji......

Basi kama hapo kuna application zote why watu bado wanatengeneza website za application?? Usiwe na mawazo hayo hakuna sehemu yoyote katika internet yenye information zote u have to surfer
 
sasa wanataka niwe na full access ya drive C: ..natumia Xplore kuingia kwenye drive C but naona kama inazingua kwasababu kila folder nitakaloingia sioni hidden files instead naona other folders tu na karibia kila folder lina ndani yake kuna mafolder ya image,video na music kitu ambacho naona siyo kweli .. sasa kwenye hiyo page uliyonipa Chief-mkwawa wanasema naweza kutumia hello ox..nimeipata sema inakataa kuinstall...nahisi nimepata application ambayo haipo compatible na simu yangu..sasa kivipi nitaipata hiyo yenyewe?...

alafu naomba kuelimishwa jinsi ya kuhack simu ..
 
Inabidi uisign heloox ipo compatible na s60v3 v5 v^3 download signer yao kwa pc
 
Back
Top Bottom