Msaada wa antivirus

KIBESENI

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
339
268
Nina simu ya mkononi, NOKIA 3110C.Virus wananisumbua sana.nimefulashi zaidi ya mala 2.nisaidie anaejua antivirus ya nokia 3110c.
eliothngumba@gmail.com
 
hamna ant virus ya hio simu. Hizo simu zote za s40 zinapata virusi kupitia simu za kichina kwa bluetooth angalia unaotumiana nao miziki
 
Last edited by a moderator:
hz cmu haznaga antivirus! But from what i Kno hz cmu s40 huwa hazifi kwa virus only appz na media player, na camera ztakua hazfany kaz ila haiwez kuzma..,.
 
Back
Top Bottom