msaada wa anti-virus ya simu.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,353
naombeni mnisaidie hapa. Je ni antivirus gan nzuri kwa simu yangu? Natumia Samsung Galaxy Pocket.
Natanguliza shukrani za dhati.
 
kwa simu yako hiyo sikushauri uweke ant virus yeyote maana itafanya simu yako iwe nzito mpaka utaichukia, pia itakula internala memory sana,
 
Nzuri ni Netqin, hii ni nyepesi sana. Download toka mobango.com au getjar.com
 
kwanza antvirus za simu ovyo wala hazidaki hao virus nilikaa na virus nawaona wanahide folders na kuficha data na kucreate mafile yake ya kishenz yale ya porn nilijaribu antvirus nyingi za simu unascan unamaliza hata havitoki.

Mi nashauri bora simu ikae bila antvirus then uwe na kawaida maybe kila wiki unascan simu yako na antvirus ya pc yako.

Source kubwa ya virusi kwa simu ni simu za kichina avoid contact nazo hasa kwa bluetooth
 
asante mkuu
 
Kwa hilo nakubaliana na wewe kwa asilimia mia hata mimi nimeinstall lakini haisaidii chochote
 
kwanza antvirus za simu ovyo wala hazidaki hao virus nilikaa na virus nawaona wanahide folders na kuficha data na kucreate mafile yake ya kishenz yale ya porn nilijaribu antvirus nyingi za simu unascan unamaliza hata havitoki.

Mi nashauri bora simu ikae bila antvirus then uwe na kawaida maybe kila wiki unascan simu yako na antvirus ya pc yako.

Source kubwa ya virusi kwa simu ni simu za kichina avoid contact nazo hasa kwa bluetooth
chief-mkwawa,mimi nina tatizo hilo na nahitaji kupaelewa hapo kwenye red.Nataka kuiscan simu kwa pc antivirus lakini sijui nifanyeje.Nimeiunganisha kwa usb lakini haisomi nilitegemea isome ili niweze kuscan kwenye option ya scan removable devices.Msaada please nifanyeje.Natumia avast
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa na wenzio mnasahau kitu, android imetengenezwa na linux kernel, antivirus za android ni kwa ajili ya kukulinda na malicious software unazodownload kutoka kwny net, pia inakusaidia kublock messages na calls kutoka kwa watu usiowataka, pia anti.theft features kufuta data zote au kublock simcard tofauti na iliyosetiwa nayo,

sasa unapoiconnect simu na pc ya windows itaonekana kama flash, wale virus wa windows wanaohide folders na vitu vingine wataingia,

binafsi nimejaribu baadhi android antivirus, ila kaspersky nimeipenda sana, hata ukiflash simu itazuia kama haijawa uninstalled na haikubali kuwa uninstalled direct kutoka kwenye menu ya application mgt. mpk uweke password ndo itakubali kutoka....

kwa simu ndogo zenye memory ndogo sidhani km kuna ulazima wa kuweka antivirus
 
Last edited by a moderator:
naombeni mnisaidie hapa. Je ni antivirus gan nzuri kwa simu yangu? Natumia Samsung Galaxy Pocket.
Natanguliza shukrani za dhati.

Ni kweli hata mimi niliwahi kutumia antivirus hizo lakini haziditect kitu na inategemeana na OS ya simu yako kama ni Symbian antivirus ya window haiweziDetect virus wa symbian hali kadhalika Linux na pia tukumbuke kwamba ili virusi vinaswe na antivirus ya simu mpaka wawe reported na waingizwe kwenye virus database (virus definitions) NB. mlengwa hasa wa virusi ni windows kwa sababu anatumiwa na watu wengi sana
 
Back
Top Bottom