msaada, vlc inaniletea shida...

maliza na hii All_Default_File_Extentions.zip very simple just download this file-extract-copy the file paste to the desktop. baadae right click mojamoja chagua merge baada ya kufanya ivo kwa zote then restart computer. ukifanikiwa toa feedback
 
right click file mojawapo,nenda open with ondoa default ya vlc
 
hapo fanya hivi
1. Nenda kwenye control panel>user accounts then add/create new administrator account
2. Log out hiyo account yako yenye matatizo
3. Baada ya kulogout ingia kupitia hiyo account uliyotengeneza halafu nenda kwenye control panel>user account then delete ile account yenye matatizo. Wakati wa kudelete hiyo account click KEEP FILES ili iweze save hayo mafile yako. Ukisha delete hiyo account yale mafile yako ya user yanaseviwa kwenye desktop.
 
Back
Top Bottom