msaada, vlc inaniletea shida...

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
wadau hii huwa inanisaidia kwani inaplay files za aina zote, tatizo ni kwamba niki install, program mpaka file zote zinafunguka na vlc...mpaka nikifungua browser inafungukia kwenye vlc player. Je tatizo ni nini? Nifanyeje kuondokana na hii hali?
 
Uninstall alafu clear temp files,caches, restart pc yako alafu install vlc tena kupitia source nyingine, ( softonic au softpedia)

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
for the time being, unaweza fanya hivi, nenda kwenye control panel, cheki na Default Programs, chagua application yoyote then uiweke kama default program, advised "itune" manake hii ni kubwa then ukimaliza kui set kuwa default program,ila ikigoma waweza kuchagua nyingine, rudi kwenye Programs and Features, ifanyie unstallation hiyo itune, then, itatoka na matatizo yote na mafiles yako yatakua poa, ila usii irudishe, kwamba usi i install tena hiyo itune kama ndio utakua umeitumia, hii itakusaidia hadi upate ufumbuzi wa kudum kwa wataalam zaidi, manake hapo hata ukifungua mozilla inafungukia na VLC, Sio??????
ok, jaribu hiyo
 
shida ni kuwa umeiweka clc kama default toa isiwe hivyo then utaona
 
vlc imekuwa default player yako kwa files zote za music/video kwa pc yako, kwani kuna ubaya gani vlc kuwa default player yako?

vlc ni only powerfull palyer uliyoweka kwa pc yako ndio maana imekuwa hivyo, ukiweka powerfull player nyingine kushinda vlc kama jet audio nayo itameza mafaili yote na kufanya yenyewe kama ndio default player.

pia program wakati ina-run/inaplay kwa mara ya kwanza huwa inakuuliza, if want it to be ur default program/player inaonekana ulikubali, unaweza ukaunstall na kuiweka upya ila safari hii usilkubali iwe default player yako, lakini mimi sioni shida hapo vlc kuwa default player. au kuna tatizo gani haswa jingine au hofu yako ni ipi?
 
mkuu tatizo inaplay mpaka program, nashndwa kurun application yeyote.
 
Just very simple mkuu, hapo fanya system restoration then kila kitu kitakuwa pouwa. M huwa ishawai kutokea na nikafanya hvyo na kila kitu poa.
 
Back
Top Bottom