Msaada:vipele vya kwenye kidevu

Click_and_go

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
451
5
....nini kifanyike kwa mtu anayesumbuliwa na vipele visivyokoma kwenye kidevu pindi tu anapoenda kunyoa ndevu ???
 
Kuna thread ilijadili suala hilo ukiitafuta inaweza kukusaidia. Wadau walishauri baadhi ya aftershave lotions, na ikishindikana - basi usitumie wembe na mashine zitumiazo nyembe, bali mkasi au mashine zifanyazo kazi kama mkasi.
 
Back
Top Bottom