Amprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.hiyo ni coccidiosis, tafuta dawa zenyw sulpha mfano amprolium, triple sulpha, anticox etc
Tafuta ma group ya ufugaji WhatsApp utajua kila kituJaman nimekuwa nikifatilia sana post zenu kuhusu ufugaji wa kuku wa kienyeji , natamani sana na Mimi kuanza huo mradi lkn sijui ntajengaje banda yani linaniumiza kichwa sana naombeni mnisaidie wana JF , na kingne nataka kuanza na kuku tetea 20 na majogoo 3 hivi inaweza kunielewa gharimu shilling ngapi? Naombeni mnisaidie
Napataje hayo magroup?Tafuta ma group ya ufugaji WhatsApp utajua kila kitu
Ni pm iyo namba yako
unachobisha kuwa haitibu huo ugonjwa? tumia busara kueleweshaAmprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.
Yuko sawa amprollium ni dawa sahihi kwa Kuku kuhara damu....Amprolium ina sulpha?? Wakati mwingine kama huna uhakika na ushauri unaotaka kutoa ni bora ukanyamaza kuliko kupotosha Jamii.Tiba za wanyama na ndege ni taaluma hivyo ushauri wa dawa utolewe kwa kufuata kanuni na taratibu.
Dawa ya kipindu pindu.wana wiki 2 jee nitibu na dawa gani?
Kwa nini usitufundishe hapa hayo uloyapata huko kwenye hayo magroup?wengine hatuwezi kuwa na access na hayo magroupTafuta ma group ya ufugaji WhatsApp utajua kila kitu