Msaada Ute mzito ulioganda wa rangi ya njano kutoka ukeni.

debon

Senior Member
Oct 6, 2011
134
62
Habari zenu wana jamvi .Naombeni msaada nimuokoe mdogo wangu ni mwaka wa pili sasa anateseka. Alianza kwa kusema anaona wadudu wanatoka ukeni..Nikaogopa nkampeleka kwa dactari wa magonjwa ya zinaa akapewa dozi ya mwezi mzima kumbe wadudu ulikuwa ni ute mzito wa njano. Baada ya dozi ile akapata mafuu ute ukawa hautoki. Baada ya mwezi hali ikarudia kwa kasi nkampeleka tena hospital kapewa dozi nyingine ya mwezi akapata nafuu lakini ikarudia tena. Akarudi tena hosptl kachomwa sindano za mshipa tano ndo kwany tatizo linaendelea. Then tukampeleka kwa specialist wa wamama. Akasema ni bacteria akamfanyia culture na kumpa vidonge dozi ya mwezi lakini dozi ilipokwisha tu hali ikarudi kama mwanzo. Kadumbukiza kila vidonge ukeni mpaka anatia huruma dalili za kupona hakuna. Naombeni msaada apone kama ni adhabu inamtosha
 
bado ..Vp anaweza pata msaada zaidi

maana ya Preta ni kuwa akaangalie vipimo vya kansa ya shingo ya uzazi au ogani nyingine za uzazi...

anyway hayo maji anayoyatoa yana harufu yoyote mbaya?
ashawahi kushiriki ngono isiyo na kinga kabla ya kuanza kuugua?

pia jaribu kutaja majina ya hizo dawa alizozitumia
 
madaktari watakuja na ushauri sahihi ,ila kwa sisi tusio madaktari naona yawezekana kama mdogo wako ana gonjwa halafu akitibiwaakapata nafuu anaenda kwa bwana yuleyule aliyemwambukiza(ambae hajatibiwa),sasa si lazima ugonjwa urudi upya?la sivyo ugonjwa umekomaa sana,unahitaji dozi kali!
 
maana ya Preta ni kuwa akaangalie vipimo vya kansa ya shingo ya uzazi au ogani nyingine za uzazi...

anyway hayo maji anayoyatoa yana harufu yoyote mbaya?
ashawahi kushiriki ngono isiyo na kinga kabla ya kuanza kuugua?

pia jaribu kutaja majina ya hizo dawa alizozitumia

Dawa ni nyingi sana siwezi hata kukumbuka, mwanzoni alipewa dawa za magonjwa ya zinaa, mara nyingine za fungas na za mwisho ni hizo za culture. Kuhusu mwanaume sijui maana aliambiwa hana magonjwa ya zinaa ni bacteria. Pia hatoi harufu
 
Habari zenu wana jamvi .Naombeni msaada nimuokoe mdogo wangu ni mwaka wa pili sasa anateseka. Alianza kwa kusema anaona wadudu wanatoka ukeni..Nikaogopa nkampeleka kwa dactari wa magonjwa ya zinaa akapewa dozi ya mwezi mzima kumbe wadudu ulikuwa ni ute mzito wa njano. Baada ya dozi ile akapata mafuu ute ukawa hautoki. Baada ya mwezi hali ikarudia kwa kasi nkampeleka tena hospital kapewa dozi nyingine ya mwezi akapata nafuu lakini ikarudia tena. Akarudi tena hosptl kachomwa sindano za mshipa tano ndo kwany tatizo linaendelea. Then tukampeleka kwa specialist wa wamama. Akasema ni bacteria akamfanyia culture na kumpa vidonge dozi ya mwezi lakini dozi ilipokwisha tu hali ikarudi kama mwanzo. Kadumbukiza kila vidonge ukeni mpaka anatia huruma dalili za kupona hakuna. Naombeni msaada apone kama ni adhabu inamtosha
Pole sana kwa hayo matatizo itabidi umpeleke Hospitali ya Muhimbili kuna Wataalam wataweza kumsaidia huo Ute mzito wa njano unaweza ukamfanya asiweze kushika mimba unaharibu mambo ya uzazi mpeleke Hospitali Kuu ya mumbili Dares-Salaam haraka iwezekanavyo wakamfanyie uchunguzi zaidi debon

MziziMkavu njooooooooooooooooooooooooooo
Nimeshafika mkuu hali yako? Amsterdam
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa hayo matatizo itabidi umpeleke Hospitali ya Muhimbili kuna Wataalam wataweza kumsaidia huo Ute mzito wa njano unaweza ukamfanya asiweze kushika mimba unaharibu mambo ya uzazi mpeleke Hospitali Kuu ya mumbili Dares-Salaam haraka iwezekanavyo wakamfanyie uchunguzi zaidi debon

Nimeshafika mkuu hali yako? Amsterdam
safi kabisa MziziMkavu habari na wewe?ushauri mzuri.
nina tatizo pia kuna ndugu yangu huwa anaumwa sana tumbo la hedhi mpaka anazimia mkuu hebu ni habarishe kweli atumie nini hata kulipooza tuuu
 
Last edited by a moderator:
akamcheki dk mmoja hapo ilala bungoni anaitwa Dk Mwaka. Taasisi yke inaitwa Foreplan
 
Duhhh alichomwa powerseff eeeh...hiyo inaitwa pangusa...pole sana
 
Pole sana kwa hayo matatizo itabidi umpeleke Hospitali ya Muhimbili kuna Wataalam wataweza kumsaidia huo Ute mzito wa njano unaweza ukamfanya asiweze kushika mimba unaharibu mambo ya uzazi mpeleke Hospitali Kuu ya mumbili Dares-Salaam haraka iwezekanavyo wakamfanyie uchunguzi zaidi debon

Nimeshafika mkuu hali yako? Amsterdam

Dr, bora umekuja. Na mie naumwa sana, mara hapa mara pale. Eti matibabu si inabidi niende rome afu ngorongoro crater? Usijali gharsma, sponsor yupo
 
safi kabisa MziziMkavu habari na wewe?ushauri mzuri.
nina tatizo pia kuna ndugu yangu huwa anaumwa sana tumbo la hedhi mpaka anazimia mkuu hebu ni habarishe kweli atumie nini hata kulipooza tuuu
kujiepusha na kupatwa na maumivu ya tumbo la mwezi afanye yafuatayo:
 Kujitahidi kula matunda, mbogamboga na kupunguza kula vyakula vyenye mafuta mengi, pombe, cofeini, Sodium na sukari.
 Kufanya mazoezi.
 Kujiepusha na wasiwasi na mawazo.
 Kuepuka kufuta sigara.@Amsterdam
 
Back
Top Bottom