Msaada: USB ports zimefungwa

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
329
178
Wakuu poleni na majukumu ya kuliendeleza hili taifa...naombeni msaada jinsi ya ku unlock usb ports za desktop zilizofungwa. Asanteni
 
Mkuu mkweli wa mambo, Zimefungwa hardware wise au software wise?

Daaah mkuu nadhani ni software wise japo sina hakika sana maana maujanja ya haya mambo siyajui vizuri..ila nikichomeka kitu chochote kwenye port ya usb hakifungui naambiwa u have no permission
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom