Msaada unahitajika'"

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Habari zenu ndugu zangu wa jf. Nina rafiki yangu alimaliza 4m four 2005 akapata D mbili2 kwa kua wazazi wake hawakua na uwezo alienda kufanya kazi za ndani. Baada ya miaka 3 akaamua kurudia mtihani mwaka 2009 akapata C moja na D mbili akarudia tena mtihani mwaka 2010 akapata D tatu Nia yake ilikua aende A level na hatimaye chuo kikuu bahat mbaya matokeo ndo hayo akijumlisha pases zake anapata iv ya 28 anaomba msaada aende chuo gani na kusomea nini ambacho atapata ajira haraka? Kwani anafanya kazi nying sana kwa bosi wake na mshahara wake ni kidogo huku ndugu zake wakimtegemea yeye pia anapenda kujiendeleza lakini sasa alikua anataka apate kwanza kazi ili awe anajitegemea akiwa kwa bosi wake alikua anachoka sana ki2 kilichochangia yeye kufel naomba munisaidie nimuambie afanyeje?
 
Hapo anatakiwa apige course ya cerificate then anaweza akapanda mpaka degree level. Kufanya degree si lazima uwe umemaliza form six.

Kama yuko Dar aende CBE kwa kozi za biashara na kama yuko Arusha kuna AIA na pia kuna chuo kizuri sana cha information technology mainly networking
 
mkuu yupo arusha hivyo vyuo vipo maeneo gani hapa Arusha?
 
mwambie akasomee kitu anachopenda....ni ngumu kumshauri kwa kuwa hatujui ana uwezo wa nini na apenda nini?labda utuambie.....
 
Aende mpaka Maasai camp mbele kama mita mia 400 upande wa kushoto wakati anatoka mjini. Atapata information za kutosha na atatengeza career kama atajiunga.
 
Hapo anatakiwa apige course ya cerificate then anaweza akapanda mpaka degree level. Kufanya degree si lazima uwe umemaliza form six.

Kama yuko Dar aende CBE kwa kozi za biashara na kama yuko Arusha kuna AIA na pia kuna chuo kizuri sana cha information technology mainly networking

ndio chuo gani hicho?hawana website??? wengine hatuko Arusha...
 
kama mzuri wa esabu aende T.I.A,kama arusha zimebana pale singida kuna chuo kizuri tu uhasibu,ukiwa na D Mbili unafanya certificatae 1yr ,ukipiga fresh unajiunga na diploma 3yrs....then mambo yanajipa mbelembele....all the best
 
Wapendwa yeye anachotaka ni kupata kazi yoyote ndo ajiendeleze amechoka na uhouse girl. Kasema kozi yoyote atapiga ilimradi apate kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom