M Maswi JF-Expert Member Oct 18, 2010 932 211 Sep 18, 2012 #1 wanaJF naomba kujua gharama za kodi zifwatazo baada ya kulipa kodi za TRA zitokanazo na CIF, gharama zenyewe ni hizi hapa. Clearing forwarding agent Car registration license Shipping line charge Port Charge Insurance na mengineyo ambayo niloyasahau
wanaJF naomba kujua gharama za kodi zifwatazo baada ya kulipa kodi za TRA zitokanazo na CIF, gharama zenyewe ni hizi hapa. Clearing forwarding agent Car registration license Shipping line charge Port Charge Insurance na mengineyo ambayo niloyasahau
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,704 39,776 Sep 18, 2012 #2 why usiende business and economic forum nafkiri watajua zaidi kuliko sisi
B bizzare Member Aug 25, 2012 62 13 Sep 18, 2012 #3 sio vibaya chief na we ukajimix huku kama unajua i do admire your contrbution in IT
M Maswi JF-Expert Member Oct 18, 2010 932 211 Sep 20, 2012 Thread starter #4 bado sijapata jibu wakuu.