Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada unahitajika.. Hotuba za hayati mwl. Julius kambarage nyerere

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by london, Apr 20, 2012.

 1. l

  london JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba mwenye audio au dvd ya hotuba ya Mwl. Nyerere aliposema CCM si chama cha baba yangu au mama yangu. Naomba uiweke hapa mtandaoni au kwenye youtube. Naomba yeyote anayefahamu naweza kuipata katika link gani basi anifahamishe.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,039
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Magamba yote ni makaburu tu,sitawaonea haya hata kidogo ni makaburu tu.
   
 3. S

  Shambogo New Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF - Habari,
  Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye hotuba za mwalimu J.K Nyerere anipatie tafadhali. Au kama kuna link inayoweza kuwa na hizo speech. Please help.
   
 4. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nenda TBC watakusaidia
   
 5. K

  Kyatsvapi JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 285
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Unaweza kuzipata kwa jamaa wa taasisi ya mwalimu Nyerere. DVD moja wanaiuza kwa sh 10,000=. Ninazo copy chache. Ni pm kama unataka nikutengenezee kopi.
   
 6. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ..Jaribu TBC, lakini pale kuna 'Kada' mmoja najua atakusumbua tu..
   
 7. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,366
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  YouTube unazipata nyingi sana. Bandika neno "Hotuba za Mwalimu" utazipata.
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,932
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Maneno haya yalizungumzwa Kiongozi fulani ambae sasa ni Waziri.Aliyashusha kutoka kifuani mwake kuonyesha Msimamo wake wa kuwatumikia wananchi.Wananchi na Watanzania ndo watu wapekee wa kumfanya acheke,afurahi au akose furaha.

  Mimi nawakumbusha Wana jamvi humu[CCM],Pamoja na Wengine kuwa kwa Mtu mwenye Utimamu sawia Hawezi kutetea Chama chake bali atawatetea Wale wanaopinga Dhuruma,wanaopinga Matumizi mabaya Ofisi za serikali,Wanaopinga Wizi wa tunu za taifa hili kwa maslah ya wachache ambao wako ndani ya vyama vyenye mkusanyiko wa Wazalendo wa kweli na Walafi.
  Mtetee yule Mwenye msimamo na taifa hili,mtetee yule mwenye Maono ya kulibadili taifa,hakuna atakaezikwa na chama hapa,ila utazikwa na ujasiri wako,utetezi wako na N.k.

  Nawakumbusha pia siasa za kupandikisha chuki kwa njia ya udini zitatugharimu sana....Na siku tukianza kuchinjana wenyewe Hakuna atakae toka ndani ya nchi hii.
  Narudia tena hakuna aliezaliwa na chama wa kulelewa na chama,kila mtu amelelewa kwao.
  By
  CCM DAMU
   
 9. N

  Nikundia Member

  #9
  Jul 18, 2013
  Joined: Jul 11, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta hotuba za nyerere zikiwa katika audio au video. Mwenye kujua nitazipata wapi anijulishe
   
 10. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2013
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 459
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Waone watu wa TANAPA ndio walidhamini kuzihifadhi nadhani wao wanazo. La cheki na ofisi za information pale mjini samora na maktaba watakuwa wanajua zinapatikana wapi.
   
 11. N

  Nikundia Member

  #11
  Jul 25, 2013
  Joined: Jul 11, 2013
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana kwa taarifa.
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2013
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 10,934
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Nenda TBC au Makumbusho utapata kila kitu!!!!!
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,956
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  Kama siyo ufidhuli ulipo serikalini nakwambia ungepata haraka sana!
  Sasa ni mpaka ukahojiwe A to Z ndiyo unaweza ukapata Makumbusho ya Taifa!

  Ila kuwa mpole kwani hapa ni Jf hakika kila mtu yupo hapa kwa ujenzi wa Taifa letu!
   
 14. stewart frenk

  stewart frenk Member

  #14
  Jul 25, 2013
  Joined: Jun 9, 2013
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni PM

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 15. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #15
  Jul 25, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,956
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  Yap! Nikundia umeona hiyo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. N

  Nyamongo kwao Member

  #16
  Jul 30, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Noambeni website ya kuniwezesha kupata mp3 za hotuba za baba wa taifa.
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2013
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,842
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hakuna mkuu nenda k.koo wachina wanauza buku 2 unadaka dvd
   
 18. N

  Nyamongo kwao Member

  #18
  Jul 30, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaibani kisha nitumie kwenye MMS nitashukuru sana mkuu please.
   
 19. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2013
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,083
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  wachina wenye kujua fursa wametengeneza hizo zinauzwa na k/koo.bugurun/mwenge/ubungo etc
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2013
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 50,180
  Likes Received: 8,709
  Trophy Points: 280
  Zitakujaza ujinga tu.
   
Loading...