Msaada: Uhusiano kati ya kuvaa pete na shela wakati wa harusi na kutenda dhambi

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Habari wana JamiiForums,

Nimekuwa nikisikia kuwa kuvaa pete na shela wakati wa harusi ni kutenda dhambi, lakini pia kumekuwa na mafundisho mengi yazungumzayo uhusiano wake na dhambi, pamoja na kusoma mafundisho hayo yote bado nimekuwa mgumu kuelewa, kwani sijaona dhambi hapo, isipokuwa kama bibi harusi kavaa shela lenye kuonyesha maumbile yake ya mwili.

Nimekuja kwenu nikijua kuna wataalam wengi waliosoma biblia, wakailelewa wenye vipaji toka kwa Mungu vya kutafsiri biblia ipasavyo, nitaambatanisha na somo moja wapo ambalo nimelipitia lakini bado moyo wangu unaegamia kuwa siyo dhambi, japokuwa 98% ya marafiki zangu na ndugu zangu wanasema ni dhambi.

Sasa..Je, kuvaa shela na kuvalishwa pete wakati wa harusi ni dhambi mbele za Mungu au?
Kama ni dhambi:
Je, ni vifungu gani katika biblia vinavyosema na kukataza watu wasivae mashela, wala kuvalishana pete wakati wa harusi?

Kama Si Dhambi:
Je, nitasimamia vifungu gani vya biblia ili kujiridhisha kuwa tukio hili takatifu la kuunganisha maisha ya wawili kuwa mwili mmoja yakiambata na mavazi kama vile shela, suit na kuvishana pete si ishara ya kutenda dhambi mbele za Mungu?

Nimeambatanisha na link ya moja ya somo lizungumziayo : http://www.gospelkitaa.co.tz/2014/12/somo-mavazi-ya-mtu-aliyeokoka-askofu.html
 
Naomba picha ya shela yenye kuonesha maumbile ya mwili, mimi najua shela hufunika kichwa tu
 
Christianity is a not a religion but a RELATIONSHIP.
Mtu atahukumiwa kutokana na uhusiano alioutunza kati yake na Muumba wale.
Sio kwa kula wala kunywa wala kuvaa. Hii inamaanisha ukiwa na uhusiano mzuri na Mungu wako automatically roho yako (nafsi) itakuwa shaped atakavyo yeye. Nafsi itaweza kushinda ya mwili (Spirit vs The World - kumbuka mwili ni wa dunia -udongo na Roho ni pumzi ya Mungu so always Roho na Mwili vinavutana whoever wins; reigns over the other.

Ukiona watu wanabishana kwenye kuvaa na kunywa uhusiano wao na muumba wao is questionable in the sense kwamba wanavutwa na kutii vya miili yao kuliko ya roho zao. I mean their spirits becomes insensitive to things of the Spirit (Word of God) as the Bible was written by Holly Men who were carried along by the Holly Spirit... so we need the God's Spirit to discern the Bible.

Glory be to Him who seats on the Throne and to the Lamb.
 
Mkuu hayo mambo ya kuhusisha na dhambi ni dhana ya Kisabato...

Wasabato hata pete huwa wavai wanadai Ellena White aliwaambia wasivae
 
ahsante sana Tized: lakini kumbuka kuwa kuna watu wanabishana namna ya kuwa watakatifu mbele za Mungu.Je, hao nao tuwaquestion?
 
Dini ni kama serikali ya awamu ya tano kwenye swala la mtandao, inanyima uhuru sana. We funga ndoa hata akivaa jeans, ndoa ni upendo mambo mengine yote mapambo tu kuhakikisha mnakula good times.
 
ahsante Lady Janet kwa hiyo unamaanisha kuwa kuvaa pete ya ndoa ni urembo tu wa duniani lakini pia ni utambulisho kuwa ndugu huyu ameolewa/ameoa?
Sasa kama ni hivyo muulize aoneshe ni wapi imeandikwa tuvae suti, gauni jeupe kwa wanawake, .....

Mkuu haya mambo huyakuti kwa Wakristo ila Kwa Wasabato ndio utayakuta..
 
Mkuu hayo mambo ya kuhusisha na dhambi ni dhana ya Kisabato...

Wasabato hata pete huwa wavai wanadai Ellena White aliwaambia wasivae
kwa hiyo wasabato huishi kwa kufuata maagizo ya binadam ambaye kwao alikuwa kama mtakatifu? lakini kama ndivyo je sisi wakristo hasa wapentekoste tunaoishi kufuata maandiko ya biblia na wakati mwingine tunasoma paul 1korintho 10:33 paulo alisema 'mnifuate mimi kama mimi ninavyomfuata Kristo' na kuna watu wanatamani kuishi kama alivyokuwa akiishi Paul, Je, hao nao hawatofautishwi na wasabato waliomfuata ellena white? je, nao si wakosefu kama hao wasabato (nanukuu ulivyosema)?

BIBLIA NI NGUMU SANA WAPENDWA
 
Christianity is a not a religion but a RELATIONSHIP.
Mtu atahukumiwa kutokana na uhusiano alioutunza kati yake na Muumba wale.
Sio kwa kula wala kunywa wala kuvaa. Hii inamaanisha ukiwa na uhusiano mzuri na Mungu wako automatically roho yako (nafsi) itakuwa shaped atakavyo yeye. Nafsi itaweza kushinda ya mwili (Spirit vs The World - kumbuka mwili ni wa dunia -udongo na Roho ni pumzi ya Mungu so always Roho na Mwili vinavutana whoever wins; reigns over the other.

Ukiona watu wanabishana kwenye kuvaa na kunywa uhusiano wao na muumba wao is questionable in the sense kwamba wanavutwa na kutii vya miili yao kuliko ya roho zao. I mean their spirits becomes insensitive to things of the Spirit (Word of God) as the Bible was written by Holly Men who were carried along by the Holly Spirit... so we need the God's Spirit to discern the Bible.

Glory be to Him who seats on the Throne and to the Lamb.
Umeiweka vizuri sana hii mkuu ila ingekuwa vizuri sana kama ungeweka na andiko kidogo kutoka kwenye Bible ku support hayo uliyoandika.
 
Naomba picha ya shela yenye kuonesha maumbile ya mwili, mimi najua shela hufunika kichwa tu
magauni-ya-harusi-2016-kutoka-kwa-wabunifu-mbali-mbali

ingia kwenye hiyo link uone aina ya mashela yaonyeshayo maumbile ya mwanamke
 
Mvazi yaoneshayo maumbile ndiyo hayo hapo chini
 
Attachments

  • best-wedding-dress-styles-2012.jpg
    best-wedding-dress-styles-2012.jpg
    32.5 KB · Views: 139
  • Star Jones 3.jpg
    Star Jones 3.jpg
    17.1 KB · Views: 182
Utakatifu sio kipimo anachoweza kukipima mwanadamu bali Mungu. Utakatifu ni standard ya juu sana ambayo kwa kawaida mwanadamu kwa yeye mwenyewe hawezi kuifikia balia ANASTAHILISHWA na Mungu. We are sanctified by God not by ourselves. It is a privilege than qualification.

Ndio maana sisi kama sisi hatuna uwezo wa kwenda mbele za Mungu kama tulivyo hata maombi yetu hayaendi kwa Mungu moja kwa moja bali yanaenda kuwa 'Formed' before HAYAJAPELEKWA kwa Mungu yale yanayofaa. Utakatifu wa Mungu ni mkuu mno na hauweze kuelezeka. Ndio Maana Bwana Yesu anasema Yeye ndio njia hakuna anaweza kwenda kwa Baba ila kwa kupitia Yeye.

Ni kitu kipana sana kukichambua hapa.

ahsante sana Tized: lakini kumbuka kuwa kuna watu wanabishana namna ya kuwa watakatifu mbele za Mungu.Je, hao nao tuwaquestion?
 
Karibu mkuu. Kama hutajali waweza nipa specific line(s) unazohitaji biblical reference.
Umeiweka vizuri sana hii mkuu ila ingekuwa vizuri sana kama ungeweka na andiko kidogo kutoka kwenye Bible ku support hayo uliyoandika.
 
mkuu ebu uwe unaumiza akili kwenye familia yako na co vitu km ivi unachozungumzia asilimia kubwa wazungu mdio huvaaga ivo wala sio hapa kwetu TZ. na habari ya kuchambua biblia hadi nukta mwishowe utasaidiwa hadi na ibilisi kuitafakari huku ukitoka na mawazo tofauti na biblia isemavyo.
 
Pete ni ishara tu mkuu. Kwa yenyewe haina kitu ila katika makubaliano/maridhiano ya kikundi na kikundi ni sawa. na mtu katika kikuni akienda kinyume na maridhiano yao itahesabiwa kwake mtu kuwa yu na hatia. Mana Mungu ni Mungu anayeheshimu makubaliano.

just for your info, Heaven if full aware of every thing we do na malaika huwa wanachukua kumbukumbu ya kila kitu tunachofanya na kuwaza na kupokea na kupeleka taarifa panakostahili ''Angels are our ministering spirits''. Only they are not allowed to destroy us hadi wapewe amri. They have records of even the number of hairs in our heads.. imagine :)

ahsante Lady Janet kwa hiyo unamaanisha kuwa kuvaa pete ya ndoa ni urembo tu wa duniani lakini pia ni utambulisho kuwa ndugu huyu ameolewa/ameoa?
 
Back
Top Bottom