Msaada tutani

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Jamani nataka nitume documents original kutoka Tz kwenda Europe.....je ni njia ipi inayoaminika.
Ninavyofahamu DHL inajulikana sana,ila sijui ofisi zao hapa Tanzania especially dar es salaam na Arusha,hata nikiangalia kwenye internet sioni contacts zao.
Naomba msaada wa mawazo kama kuna mwenye uelewa.
 
nyerere road kuna ofisi zao pale. kutuma parcel ambayo haizidi kilo moja ni 90,000 -100,000/= tsh.
 
nyerere road kuna ofisi zao pale. kutuma parcel ambayo haizidi kilo moja ni 90,000 -100,000/= tsh.
Thanks much CUTE,umenielewesha mpaka nimeridhika
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 mambo mzima wewe
DHL INTERNATIONAL (T) LTD. Phone: 027 250 6749. Physical Address: Arusha, Tanzania. Postal Address: PO Box 11373, Arusha...iko karibu na fedha house..sokoine road

nikuombe kitu CUTE?
 
Last edited by a moderator:
Kama ni documents za muhimu nakushauri Nenda Fedex. Ila kwa Arusha ofisi za DHL zipo pembeni ya Benki ya NBC
 
Back
Top Bottom