Msaada tutani

che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
71
waungwana wenye ujuvi na weledi wa kutosha katika masuala ya luninga na matangazo, naomba mnijuze kuhusu majina ya aina ya matangazo ktk luninga, m.f Jina la tangazo linaloingia baada ya habari au katikati ya habari, matangazo yale yanayotokea robo tatu katika screen ili hali tukio linaendelea, yale ya kubandika logo za kampuni katika pembe za screen, na yale yanayopita chini katika utepe, naomba majina ya kitaalam waungwana
 
wewe una discriptions zuri sana kuhusu nini unataka, na majina syo common kwa Luninga zote, watembelee hao wana luninga uwaombe price tag zao, hizo zina majina mazuri kabisa
 
Back
Top Bottom