Msaada tutani: Nini maana ya maneno haya kwa kiswahili?

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.

1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5. Hermaphrodite
6. Homoerotic
7. Pansexual
8. Omnisexual
9. Polysexual

ninachofahamu mimi homophobic ni unyanyapaa yaani unakuwa na phobia kwa binadamu mwenzio.
 
My take:
homophobic = mtu anayechukia ngono ya watu wa jinsia moja.(******* na wasagaji)
heterosexual= ngono ya watu wa jinsia zisizofanana (tofauti )
hermophrodite + kiumbe chenye jinsia mbili tofauti...(say uke na uume).
 
kwa neno moja mtu wa aina hii anaitwa HUNSA
 
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.

1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5. Hermaphrodite
6. Homoerotic
7. Pansexual
8. Omnisexual
9. Polysexual

Homophobic - Mtu anayewachukia homosexual

Homosexual - M@se@nge% au Basha wa kike au wakiume, lakini M@se@nge% ni yule anayefirwa tu na Basha ni mfiraji. Kwa maana yangu wote wanafit kwenye kufirwa na kufira - wanaume pekee na wanawake pekee - How they do it I don't know

Bisexual - Huyu ana sehemu zote za siri ie za kiume na kike

Heterosexual - Huyu ni mwanaume au mwanamke ambaye anapenda opposite sex kwa kuoana na kuwa na family. Majority ya watu ambao wanaanza family watu ambao sio mabasha au Wa@s@enge%

Hermaphrodite – Mfano Semenya wa SA huyu ni sawa na Bisexual

Homoerotic - Huyu ni M@se@nge% au basha ambaye ankuwa na nyege kwa wanaume au wanawake wenzake

Pansexual – Hii ni diverse sexual expression

Omni sexual – Omni maana yake ni all

Polysexual - Sijui umeliibua wapi hili
 
hizo sehemu zingine nadhani ni sahihi lakini hapo penye nyekundu ni kuwa mtu anakuwa na jinsia moja (Mwanamke au mwanaume), lakini anakuwa attracted kufanya sex na jinsia zote, kama mwanaume anaweza kuwa na mke lakini pia akawa anachapwa kiboga
 
1. Homophobic = mwenye kuwachukia mashoga.

2. Homosexual = Ni mtu mwenye kupendelea zaidi kufanya ngono na jinsia yake

3. Bisexual = Mtu ambaye anafanya na yeye pia anafanywa. (wengine uwaita askari jeshi, anapiga na kupigwa.

4. Heterosexual = mtu mwenye mwelekeo wa kupenda kufanya ngono na jinsia tofauti na yake

5. Hermaphrodite = Mtu mwenye jinsia mbili, ya kike na kiume au Kuntha

6. Homoerotic = mwenye kupendelea mambo ya kishoga

7. Pansexual = mwenye kushiriki ngono za aina mbali mbali

8. Omnisexual = Mwenye kupenda ngono kila mahala, hasiyechaguwa mahala pa kufanya ngono

9. Polysexual = Mwenye kupenda ngono, au mwenye kupenda ngono ya wengi.

Wataalam watasaidia zaidi.
 
labda mila na utamaduni wetu haukuwa na hawa, kwa hiyo lugha haikuwaona...

pia ka vile neno moja 'nakupenda' ni matatu kwa kibbc 'I love you'... kuna maneno ya kiingereza ambayo tafsiri yake ni maneno zaidi ya moja ya kiswahili :
Homo = m.senge, hanisi, khanithi
phobia = uoga
... kwa hiyo homophobia = anaeogopa usenge (tofauti na kumuogopa m.senge)

Hermaphrodite = huntha ... ama mwingineo humu kasema 'hunsa'

@ X-PASTER ... dunia mpya twaishi cku izi ... omnisexual yawezekani kuwa anayependa kukazwa sehemu nyingi (k, kisamvu, mati.tini, nk) ... ama?
 
Salam ndugu wana JF napenda kujua maana ya maneno haya kwa kiswahili kwani huwa yananichanganya sana.Natanguliza shukurani.

1. Homophobic
2. Homosexual
3. Bisexual
4. Heterosexual
5. Hermaphrodite
6. Homoerotic
7. Pansexual
8. Omnisexual
9. Polysexual

usijilemaze sana mdogo wangu. maneno mengine ni kiasi cha kuchukua kamusi na kuyatafuta taratibu. nenda pia kwenye wavuti utapata maana zaidi ya moja na mifano kedekede. fanya hivyo
 
Mkuu sina kamusi na hapa nilipo ni vigumu sana kupata kamusi,na niki google kuna kuwa na kiingereza kikali sana ambacho hakinipi neno kwa maana halisi niitakayo nikajua nikiyajua maana yake kwa kiswahili itakuwa imenirahisishia ,kwani tuko Dunia mpya yenye kila vituko vipya ambavyo havikuwepo enzi zile,nilichotaka ni kujua tu kwa lugha yangu ya kiswahili na undani wa maneno hayo asante.
 
hamna shaka
 
Hayo mambo mbona si mapya, yalikuwepo tangia enzi hizo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom