Msaada tutani ninamchumba wa kikinga

Kweli mkuu,shule haiondoi ushirikina wa mtu,ila nashukuru kwa kuniashauri

usiegemee hoja hiyo.. Itakupotosha na kukuharibia maisha ya ndoa. Mradi mnajuana vizuri inatosha. We si ndiyo umetaka kumuoa? Au yeye ''anakuhimizahimiza?'' hapo ndo uwe muangalifu,maana wa namna hiyo anaweza kuwa na wivu wa kupita kiasi..hadi utakerekwa!
 
wakinga sio washirikina bhanaaaaaa


Acha kupotosha umma wewe,ni washirikina wa kutupwa,nenda kwao uwaone walivyoua familia zao kwa ajili ya kupata mali,mfanyabiashara yeyote wa ki-kinga mchunguze makini familia yake utaona au yeye ukimchunguza utakuta vidole vya miguu au mikono hawana,watu tunashauri akio awe makini anytime yeye au mkewe wanapotea hawa jamaa ni soo usimuingize jamaa choo cha kike.
 
Jamani mi ni kijana ninamiaka 30(umri)nimebahatika kupata mchumba wa kikinga,nategemea kumuoa mwakani,katikati ya mwaka,sasa naomba mniambie tamaduni zao kuhusu mahari,huwa wanahitaji nin(mnyama nk)na tamaduni zingine,ili nijipange kabisa,ila huyo bint ni mkinga(wazazi wake wamelowea mbeya) mim mwanaume ni YAHO,

Kijana, angalia sana, watakuja 'Wakinga' wa Pemba kukupa ushauri. Utakubali? Kwani hakuna Wakinga unaowajua huko Mtaani? Utaingizwa mjini.
 
Ushirikina upo kila sehemu, kumbe usiogope, songa mbele, kamata Mkinga huyo, ila nakushauri ujiandae maana wao shemeji zako wa kike ni mali yako pia, hakuna mwiko.
 
Poleee eti sisi wakinga washirikina hakuna kitu kama hiyooo, tunajua kutafuta pesa vevee no ushirikina...!!

khulongu lokghosi! Avademi ava vikhotodokha navalomanyili okhota twembile impakha khomakhelele khwa nyerere. Indalama tulonda,twilya khamoja avene vita tole vahavi!
 
Nimemuuliza mda mrefu,bado ajaniambia,huwa ananiambia bado sijamuuliza baba,coz baba yake ndo mkinga,mama yake n mnyakyusa,mwezi wa pili nataka kupereka mahari

Umeliwa, kuna Kidume kingine kishapewa full detail
 
Ushirikina upo kila sehemu, kumbe usiogope, songa mbele, kamata Mkinga huyo, ila nakushauri ujiandae maana wao shemeji zako wa kike ni mali yako pia, hakuna mwiko.

huu ni uongo achana nao. Hakuna wanawake wanaomuheshimu shemeji yao kama wakinga
 
Wakinga watani zangu. Dogo unajiandalia kuwa msukule pole sana. Umepotea njia au sababu umeona wanawake wa kikinga wapole?
 
kwa wakinga waliosoma shule hakuna mambo ya uchawi kama wajumbe wanavyosema,hilo nakuhakikishia asilimia zote. Kwa upande wa mahari kuna vitu kwa ajili ya aunt, mjomba na bibi kama yupo. Hivyo unatoa on spot hakuna kubagain! Hivi vinaweza kuwa mbuzi,blanket,(vijijini kuna mtama,ulezi na mahindi gunia) nk. Pia kuna vitu vya kutumia siku ya kutoa mahari kama kuku, soda,bia na makulaji mengine. Vitu vya wazazi ambavyo ni ruksa kukamongo ni wanyama wa miguu minne, fedha na bidhaa nyingine ndogo ndogo. Hivyo utapeleka nusu na kuwaambia vingine mtamalizia, kama mnapeleka fedha thamani ya hicho kitu mnapana nyie. Huwa hatumalizi mahari,ni dharau. Inatakiwa mumtafute mzee wa kikinga ndo wanajuana,wapo wengi kila mji. Mahari ya binti haipangwi kulingana na elimu au mali ulizo nazo. If u love her oa tu,ni wazuri sana kwenye mipango,budget,malezi pia Watoto ni wa kwenu nyie na ndugu zako!
 
Du uva nkinga nilinkinga lakin redio jangu kunkwimba kasongi itindete lukosi? Kaka mda wowote unapoteza mke,maana hawa watu ni soo kwa ushirikina nenda k/koo uwaone na mighorofa yao,washaua watu sana hawa kwa kutoa kafara(Ikemefuna)

Hebu tuwe wakweli, ni kabila gani halina washirikina ktk kabila hilo? au wewe umepimaje kuwa hao wakinga ndo washirikina? Na wewe mshirikina au umeambiwa? Nini kinakushangaza maendeleo yao!
Kama ishu ni kuua wangapi wameua na wako puu tu. Nani katajirika kwa kuwaua Albino? Na kama wewe unawajua hao wauaji, nenda kashtaki na utoe ushahidi mahakamani!
Ndo nyie msemao wachaga wezi, nenda magerezaji uone. wamasai, wahaya, wagogo, nk wako huko wameiba. Sema, kinadada wafanyao uzinzi na biashara ya umalaya je wote ni wahaya tu?
Una mawazo mgando wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom