Msaada Tutani:Namna ya kuunganisha Apple Ipod touch na WiFi

Mtanga Tc

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
235
84
Wakuu, naomba kwa yeyote anayeweza ku-activate au kuunganisha Ipod touch kwa Wifi kwani yangu inagoma japo nipo sehemu yenye Wireless connections....Natanguliza shukurani!!:sleepy:
 
Ina goma vp?....hiyo wireless unayojaribu kuacess iko wazi au iko protected, kama iko protected una key ya kuingilia?
 
Nina access code ya hiyo wireless na pia nime-install wifi locator kwenye hiyo Ipod touch lakini kila iki-search haipati connection!
 
Ku-restore means nitaenda kwenye factory default setting????

cjajua ya kwako ni generation ipi? Mm yangu ni model mb528fd version 4.2.1 hii unaenda setings then general af reset . Sasa pale kwenye reset kuna reset nyng
1 reset all setings
2erase all content and setings
3reset network setin
4reset keyboard dictionary
5reset home screen layout
6reset location warnings

So hapa kwa tatzo hlo naweza chagua namba 1 , 2, au 3. Ila namba mbili unaweza ukafuta mpaka nymbo so vyema utumie 3 au 1.
 
Many thanks Mkuu...ngoja nijaribu hii then nitakujuza! Ya kwangu ni version 4.2.1 lakini model MC086LL.
 
Back
Top Bottom