Msaada tutani - MCITP

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Wakuu,

Wapi naweza download for free the following??

1. MCITP CBT nuggets
2. Windows server 2008 enterprise edition

Asanteni.
 
Wakuu,

Wapi naweza download for free the following??

1. MCITP CBT nuggets
Mkuu unataka MCTIP ipi? Consumer Support Technician? Server Administrator?
Database Administrator 2008? Enterprise Administrator au ipi?

jaribu torrent lakini ujue kuwa nyingi hazina seed za kutosha so itakuwa ngumu kwako ku download....

Sasa hizi torrent link zinahitaji membership na some fee
hapana....ni bure sio lazima ujiandikishe na wala kutoa fee yoyote...torrent ni peer-to-peer file sharing...
 
Mkuu Yoyo nahitaji Enterprise Administrator 2008
lol sasa sijui nitakupaje ila kwa sasa ninayo ya exam 70-642 network infrastructure,configuring...... sasa haya makoti tuliojivika hapa JF ndio tatizo
 
lol sasa sijui nitakupaje ila kwa sasa ninayo ya exam 70-642 network infrastructure,configuring...... sasa haya makoti tuliojivika hapa JF ndio tatizo

Tengeneza Email ID...kwenye gmail faster kwa ajiri ya kutuma issue za kwenye JF.Ila kama issue ya masomo unaweaza kuwa wazi tu...tu kwenye PM...sioni tatizo wengi wanafahamiana humu..kwenye PM na hatuwekani wazi kwenye public.So help him men...ukiweza fanya mambo na mie kwenye mail yangu u gat it right?
 
Mkulu YoYo nimekuPM nitumie hii kitu bwana hata kwa post office kama unakuwa muoga kuwa reaveled out of JF anonimity
 
hakuna noma mkuu......tatizo kwa email ujue hili ni folder na lina ukubwa wa 2.7GB so inakuwa ngumu sana ku attach kwenye email....labda kwa ku share rapidshare au zinginezo.....but kama anaweza kulishusha rapidshare naweza kumpa link ya torrent akalishusha toka kule.....au?
mkuu haya makoti mabaya sana......

Mkulu YoYo nimekuPM nitumie hii kitu bwana hata kwa post office kama unakuwa muoga kuwa reaveled out of JF anonimity
sijapata PM yako mkuu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom