Msaada tutani, Jinsi ya kuandaa mkataba wa kumkabidhi dereva gari aina ya Noah kwa ajili ya abiria

Wustenfuchs

JF-Expert Member
Dec 31, 2012
313
164
Wakuu, wenye uzoefu na biashara hiyo hapo juu tafadhali naombeni msaada wenu. Ningependa kufahamu ni mambo gani ya kuzingatiwa katika mkataba yafanyikapo makabidhiano ya gari ndogo ya kubebea abiria aina ya Noah kati ya mwenye gari na dereva.
 
Back
Top Bottom