Msaada tutaani: nawekaje heading ya topic yangu red color humu Javini?

nimekuwa nikicheki topic
za watu heading zake zina red color, kwa mimi nimeshindwa kuweka red
color kwenye heading ya thread, msaada kwa nayejua jinsi ya
kufanya?

kama unatumia mobile angalia thread ya kwanza kwenye forum hii inayosema for JF MOBILE USERS Utapata kila kitu kwa pc nadhani iko wazi
 
nimekuwa nikicheki topic za watu heading zake zina red color, kwa mimi nimeshindwa kuweka red color kwenye heading ya thread, msaada kwa nayejua jinsi ya kufanya?

kweli hilo linawezekana!!! cjawah kuona humu topic ina red ila kwa content inawezekana
 
Zile heading zenye red ni zile thread ambazo huwa 'sticky', huwekwa na Mod tu ndo maana unazikuta zipo juu....
 
Kwenye sehemu ya kuandikia text, bofya kifungo cha "text color" chenye alama ya A kubwa halafu chagua rangi uipendayo. Sijui umenipataaaaa...
 
Mkuu sijakuelewa, unataka title ndo iwe nyekundu au?. sijawahi kuona hiyo. asante sana. Mia
 
Kwa upande wa title kuwa na red kunaidadi fulani ya wachangiaji ikifikia inaweka red yenyewe
 
Nayako imeshakua nadhani umelidhika na kuelewa ni idadi ya wachangiaji ikifika inakuwa red yenyewe

nimekubali, mkubwa..nimejijitimua naweza kufanya maujanja kumbe wapi! mambo automatic, Teh teh teh teh!!!

ahaaaaa! nimesahau eti kudelete thread yangu, steps ni zipi? ?? jamaa msaada tutani!
 
Back
Top Bottom