msaada tuta

moze

New Member
Aug 19, 2010
2
1
wadau habari za leo
nna shida ya kutaka kufahamu kuhusu namna TRA wanavocharge ushuru wa magari toka japan hasa yale yaliyozidi miaka kumi tangu tengenezwe yaani uchakavu unachajiwaje,kuna fomula flani au inakuaje ya 1995 itatofautianaje na ya 1999 kwa ushuru wake
asanteni.
 
Back
Top Bottom