Msaada tuta la Euro Millions...!

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,033
3,944
Wenye ufahamu wa mambo haya naomba msaada. Nataka kujaribu bahati yangu kwenye mchezo wa bahati nasibu wa EuroMillions. Kuna kampuni mbili za ma-agent wa online, Lottery24 na AAL ambazo zinadai zinachezesha mchezo huo online kwa ajili ya wateja walio nje ya nchi ambazo mchezo huo huchezwa. Tunaomba mwenye uzoefu ama aliyepata kucheza mchezo huu atujuze. Pia atufahamishe kama kuna njia nyingine ama kampuni nyingine unaweza kuzitumia kucheza mchezo huo online. Na je, benki zetu zitasemaje zikiona ghafla akaunti yako inaingia shilingi milioni 350!
 
Waungwana! hakuna ambaye ameisha cheza hii kitu hapa Bongo akatoa ushauri???
 
Back
Top Bottom