MSAADA: Tunatafuta mtaalamu wa kutambua sura kwenye hii picha

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Timu Ya Soka Ya Wanawake Ya Kule Nanihii

pichakali.jpg

wa pili kulia waliosimama ni Warda El-Saad, waliochuchumaa kutoka kushoto ni Najat, Bilkis (kipa) na Leyla, wengine waliobaki siwafahamu ni wageni kwenye hiyo timu
 
duh una kipaji mkuu, yaani uamepatia ni kama ulikuwepo utadhani ulisomea Chunguza na Chabo Institute of Identification :)
 
WALIO KAA:
GOLKIPA NI veracity,BEKI WA KULIA ni charity,BEKI WA KUSHOTO ni lilyflower,

WALIOSIMAMA
BEKI MKABAJI ni pretta,BEKI WA KATI ni carmel,KIUNGO MKABAJI ni babylove,WING YA KUSHOTO ni mj1,WING YA KULIA ni nyamayao,KIUNGO MSHAMBULIAJI ni fl1,MSHAMBULIAJI WA KWANZA(namba tisa) ni pearl,na MSHAMBULIAJI WAPILI(second striker) ni askofu.

majeruhi na reserve ni wale ambao sijawataja.msiwaze sana:D:D:D
 
Geoff nimecheka mpaka basi, u have made my day ulisoma chuo kimoja na Preta nini? coinsidence.
 
wa pili kulia waliosimama ni Warda El-Saad, waliochuchumaa kutoka kushoto ni Najat, Bilkis (kipa) na Leyla, wengine waliobaki siwafahamu ni wageni kwenye hiyo timu

Hauna kipaji bali una KIPAWA aisee huko vizuri
 
WALIO KAA:
GOLKIPA NI veracity,BEKI WA KULIA ni charity,BEKI WA KUSHOTO ni lilyflower,

WALIOSIMAMA
BEKI MKABAJI ni pretta,BEKI WA KATI ni carmel,KIUNGO MKABAJI ni babylove,WING YA KUSHOTO ni mj1,WING YA KULIA ni nyamayao,KIUNGO MSHAMBULIAJI ni fl1,MSHAMBULIAJI WA KWANZA(namba tisa) ni pearl,na MSHAMBULIAJI WAPILI(second striker) ni askofu.

majeruhi na reserve ni wale ambao sijawataja.msiwaze sana:D:D:D

:confused:
 
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
kumbe dada yetu ni mtaalamu wa sharia?
 
wa pili kulia waliosimama ni Warda El-Saad, waliochuchumaa kutoka kushoto ni Najat, Bilkis (kipa) na Leyla, wengine waliobaki siwafahamu ni wageni kwenye hiyo timu
Huyo aliye chuchumaa wa kwanza kulia anaitwa Munira El-Basheer winga wa kulia wa hiyo timu!!
 
Hamna cha Warda wala bi Kidude wala nini. Wote majini.

Aliyechuchumaa kushoto Jini M........, anayefuata ni Jini Manyoya, Jini Selander Bridge, Pepo Beach hao wengine wamesimama hivyo siwezi kuwatambua.
 
Back
Top Bottom