Msaada tovuti ya chadema

NCHABIRONDA

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
298
107
Habari zenu wana JF wote, Mimi ni mkereketwa wa chama cha CHADEMA na mara nyingi huwa napenda sana kufatilia habari zinazohusu hiki chama. Natamani sana kutembelea tovuti ya CHADEMA lakini sijui tovuti yake hivo kwa yeyote anaejua tovuti ya CHADEMA naomba anijuze.
 
Duh ww kweli umenishangaza sana na waonekana unatoka kaskazini. Sie wa kanda ya ziwa hiki chama tumeisha anza kuachana nacho hakina cha maana mpaka sasa kilichofanya kwa wananchi za zaidi ya maandamano

Wewe ndio msemaji wa kanda ya ziwa?
 
Huyu wa kanda ya ziwa naona wa kufoji make hata ongea yake anaonekana analazimisha atokee kanda ya ziwa tunakoujua utamu wa CDM,sasa yeye asiyeujua utamu huu ni wa kanda gani ya ziwa?

Hukuwahi na hauwezi wala kutuwakilisha kwa mawazo yako ya kikuda namna hii
 
Back
Top Bottom