Msaada:Tiketi ya kwenda, Kuala Lumpur Malasyia

Richard Nguma

Member
Apr 29, 2011
64
5
Wana JF, kama kuna mtu ambaye anajua shirika la ndege au website naweza kupata air ticket kwa bei nafuu ya kwenda na kurudi napendelea Kilimanjaro airport port au Jomo Kenyatta airport Nairobi "NBO "natakuliza shukrani zangu za dhati kwa wana great thinker :)
My email
richardnguma@gmail.com
+15015451182 text only
 
Wana JF, kama kuna mtu ambaye anajua shirika la ndege au website naweza kupata air ticket kwa bei nafuu ya kwenda na kurudi napendelea Kilimanjaro airport port au Jomo Kenyatta airport Nairobi "NBO "natakuliza shukrani zangu za dhati kwa wana great thinker :)
My email
richardnguma@gmail.com
+15015451182 text only

Richard, njia rahisi na ya bei nafuu ni kutumia Emirates, ambapo utatoka Dar hadi Dubai, na Dubai hadi KL. Emirates wana nauli nafuu sana kulinganisha na mashirika mengine, na wana flights kila siku kati ya Dubai na KL.

Tena kwa sasa wana promotion ambayo inaweza kukupa visa na accommodation Dubai bure, kama stopover ya safari yako, wakati wa kwenda au kurudi.

Ikiwa unataka kupitia Nairobi inawezekana pia, ila sina uhakika kama Emirates wanaenda Nairobi kila siku.
 
qatar ndio iko cheap ukilinganisha na emirates,qatar itakupeleka adi Doha harafu mtapanda nyingine adi Kuala Lumpur,ukitaka kujua zaidi habari za kuala lumpur,wap utembee etc nipm nitakuelezea zaidi
 
qatar airways ---> dar-doha-kl, nyingine dar-nairobi-doha na doha-nairobi-dar, kuna ndege 3 kila siku doha-kl na kl-doha kwahiyo huwezi kupoteza muda mwingi wa kungojea flight pale doha au ikitokea unasubiri flight ya kuunga kwa masaa 5+ chakula ni buree pale doha
 
jamani kuna Oman airways iko cheap sema ni kama precision iendayo Mwanza,Emirates ina bei kuliko qatar,na likes.
Pia zipo Kenya Airways,Ethiopian, pamoja na Qatar zote zinapitia Kilimanjaro kama ni JKenyata tumia Kenya Airways itakupeleka hadi Kilimanjaro au Dar
 
Back
Top Bottom